Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 19,639
- 14,242
Wajinga na wanajidanganya wenyewe.Negativity zimewajaa hawa jamaa wa CHADEMA, lazima aje na mada za kuwaondoa watu kwenye suala la muda husika.

WaKatika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Wananchi wako pamoja Lissu basi hana haja ya kuogopa waļa hakuna atakayemtisha.Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Umeuliza majibuMalecela ana miaka 91 na Mzee Warioba ana miaka 84. Kwahiyo Mzee Warioba ni kijana sio?
Kasahau kuwa Mzee Warioba ana miaka 84.Kuna chochote anachopungukiwa kwa kitendo cha kutoalikwa kwenye hilo tukio ?
Wa
Pole sana. Endelea na roho mbaya za kijinga ambazo haziathiri mtu zaidi yako mwenyewe.Umeuliza majibu
Ila wenye nchi ndiyo wa mitutu ya kuwatishia na kuwaulia wananchiLakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Nina roho nyeupe sana! ila napinga UtekajiPole sana. Endelea na roho mbaya za kijinga ambazo haziathiri mtu zaidi yako mwenyewe.
Umenena vilivyoWambague wasimbague, haijalishi atabaki kuwa ni Waziri Mkuu mstaafu na kati ya wazee wenye busara zao, waliobaki, wapigania haki na sheria kwa nchi hii. Mzee wa watu yuko mioyoni mwa Watanzania wengi, tunamuombea maisha marefu, aje aione Tanzania inayotakiwa kuwa.
Ahahahahaha!!!!Nina roho nyeupe sana! ila napinga Utekaji
Hawa wapumbavu wanahisi umasikini ni haki yao
Na mimi ninayo. Ahsante sana Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa CCM Taifa!
Wewe una nchi wewe?Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Lucas Mwashambwa ni mke mtarajiwa wa Ridhiwan Kikwete, ndoto yake ni kuwa First Lady mwaka 2040Lukas Mwashambwa katengwa nae!??
Nimeona Aibu sana!