Joseph Warioba atengwa Rasmi

Joseph Warioba atengwa Rasmi

Kuwa makini kutukana tukana watu mtandaoni utakuja kumtukana kibenten wa mamaako
Mi mwenyewe mama nakuzaa huku nakimbia, ebu tuliza akili we kijana mjinga, uwe unawaza mbali, sio unawaza 1 second ahead, usie na akili
 
Mi mwenyewe mama nakuzaa huku nakimbia, ebu tuliza akili we kijana mjinga, uwe unawaza mbali, sio unawaza 1 second ahead, usie na akili
Unatafuta kibenten ? Nichukue
 
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa🥺🥺🥺🤔
Thubutu wangepoteana sasa hivi hayupo wanaogopa kwa sababu nguvu ya ushawishi bado ipo vichwani mwa wengi.
 
Coinsdence,
Hawezi kutengwa na hana wa kumtenga.
Huyo ni mzee mwenye busara tu usimtumie kwenye siasa zenu majitaka hizo.
Umezaliwa mwaka gani bwege wewe mpaka umuone Warioba mtoto.
Nyie vijana toka mnaanza kushika simu mna ujinga mwingi sana.
Futa ujinga wako au utakuja kunyanganywa simu.
Hoja yako ni nini...?

By the way, kumbe wewe ni mzee?

Mbona sasa una shout hovyo na kumtukana mtoa hoja (kijana) bila sababu? Busara za uzee wako ziko wapi...?

Okay. Let's assume kuwa, hakuna wa kumtenga na hajatengwa, kwanini leo hakuwepo pale unadhani? Je, mlimwalika lakini hakuja mwenyewe...?

Wazee wa siku hizi (dizaini ya Jakaya Mrisho Kikwete) mko hovyo sana, mmejaa tamaa za uzeeni lakini hekima na busara hakuna..!
 
Unaweza kukuta wewe ndiye unatangulia mbele, na wala huna lolote la watu kukumbuka kwayo.
Mzee Warioba kisha weka alama isiyoweza kufutika, na bado...
Wapi nimemtaja Warioba wewe mpuuzi wewe?
 
Mzimu wa magufuli umesanuka unataka no reform no election umejua kuwa magufuli aliuawa na sasa wauaji lazima waungue kwa laana
JPM alikufa natural death. Moyo ukiwekewa betri ni vigumu mtu kuishi miaka mingi. Kuna wakati alikuwa analewa pombe usiku, matatizo aliyokuwa nayo akayaongezea taabu nyingine.

Kikwete akiwa na zaidi ya miaka 70 anafanya mazoezi ya kutembea , jogging na anakula vizuri. Mwinyi alizoea kutembea kule baharini alipokuwa ikulu na baada ya kustaafu akaendelea kujitunza, kaaga dunia na miaka 98.
 
Coinsdence,
Hawezi kutengwa na hana wa kumtenga.
Huyo ni mzee mwenye busara tu usimtumie kwenye siasa zenu majitaka hizo.
Umezaliwa mwaka gani bwege wewe mpaka umuone Warioba mtoto.
Nyie vijana toka mnaanza kushika simu mna ujinga mwingi sana.
Futa ujinga wako au utakuja kunyanganywa simu.
Instagram na facebook zinaanika ujinga mwingi wa watoto wa miaka ya 90 na 2000.
 
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.

Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.

Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.

Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.

View attachment 3385996

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa

Nafikiri Warioba kutengwa kwake ni faida kuliko hasara
 
Back
Top Bottom