Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 6,298
- 11,748
Mwashambwa inaonekana leo menu bila bilaMwashambwa
View attachment 3385874
Mwashambwa inaonekana leo menu bila bilaMwashambwa
View attachment 3385874
Unajibiwa unatoa majibu ya short cutwapi nimekataa kujibiwa?
huwa napata shida sana kueleweshana na wapumbavu,lunch time soon mwana jf kale ugali na maharage uzimeHoja yako ni nini...?
By the way, kumbe wewe ni mzee?
Mbona sasa una shout hovyo na kumtukana mtoa hoja (kijana) bila sababu? Busara za uzee wako ziko wapi...?
Okay. Let's assume kuwa, hakuna wa kumtenga na hajatengwa, kwanini leo hakuwepo pale unadhani? Je, mlimwalika lakini hakuja mwenyewe...?
Wazee wa siku hizi (dizaini ya Jakaya Mrisho Kikwete) mko hovyo sana, mmejaa tamaa za uzeeni lakini hekima na busara hakuna..!
Ujumbe wangu umefika.Warioba ana shida na hela????
Million 5 kwa Warioba ni "Material"????
Na hao mnao watoa roho kabisa kwa kutoa maoni yao je?Ndio demokrasia yenye upana mkubwa, kila mtu anao uhuru wa kuongea na kusikilizwa.
Una uhakika roho zao zinatolewa na hao unaodhani wanafanya hiyo shughuli?.Na hao mnao watoa roho kabisa kwa kutoa maoni yao je?
Mara nyingi unakuwa kama akili zinakuruka kichwani, vipi?
YapWarioba ni MZALENDO
watu ni wazee sana dah hadi hiyoo kitu siijuiMzee Warioba akiwa AG miaka ya 80 mwanzoni ndio tulikula sana ugali wa yanga, tukapanga foleni za maduka ya kaya. Kinamama wakavaa sana vitenge vya kupika.
Miaka ile baada ya vita ya Kagera kumalizika tulikuwa na rhumba la kufa mtu huko mitaani.
Ushahidi wa kutosha kabisa upo, tena usiokuwa na mashaka kabisa.Una uhakika roho zao zinatolewa na hao unaodhani wanafanya hiyo shughuli?.
Roho nyingi tu zinatolewa kwa sababu mbalimbali.
Ukiwa chawa lazima ujitoe akili, pole sanaUna uhakika roho zao zinatolewa na hao unaodhani wanafanya hiyo shughuli?.
Roho nyingi tu zinatolewa kwa sababu mbalimbali.
Sijataka kuingia katika mkumbo wa ulalamikaji nimeamua kuwaza kwa kina.Ukiwa chawa lazima ujitoe akili, pole sana
Ni muongozo kutoka kwa rostam aziziKatika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
View attachment 3385996
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Na mama yakoChadema mmewakilishwa na nani?
Alikua mlevi sana na hana alama aliotuachiaMzee Warioba akiwa AG miaka ya 80 mwanzoni ndio tulikula sana ugali wa yanga, tukapanga foleni za maduka ya kaya. Kinamama wakavaa sana vitenge vya kupika.
Miaka ile baada ya vita ya Kagera kumalizika tulikuwa na rhumba la kufa mtu huko mitaani.
Yuko nje kabisa ya circlesNi muongozo kutoka kwa rostam azizi
Sawa 🐼Na mama yako
Unajua sababu ya hali hiyo. Ombq uhai inakuja tena. Subiri uchaguzi ufanyike bila Chadema.Mzee Warioba akiwa AG miaka ya 80 mwanzoni ndio tulikula sana ugali wa yanga, tukapanga foleni za maduka ya kaya. Kinamama wakavaa sana vitenge vya kupika.
Miaka ile baada ya vita ya Kagera kumalizika tulikuwa na rhumba la kufa mtu huko mitaani.
Not coolNa mama yako