Joseph Warioba atengwa Rasmi

Joseph Warioba atengwa Rasmi

Mzee Warioba wanamlipaga posho tamu tamu za milioni tano kila anapohudhuria vikao vyenye sura za wanaharakati vyenye lengo la kuichafua serikali ya awamu ya sita.
Mzee unaandika unachokijua au unaandika tu sababu ya EGO? wanaomlipa wana naisha gani? Nan anaweza kumlipa huyo mzee? Mzee sio maskini kama mawazo yako yalivyo 🚮
 
Unajua sababu ya hali hiyo. Ombq uhai inakuja tena. Subiri uchaguzi ufanyike bila Chadema.
Vigumu kurudia tena hali ile, vita ya Kagera ilifilisi pesa yote ya hazina.

Pia Tanzania ya Nyerere ilitaka kukomolewa na IMF kupitia sera zao wakitaka kumkomesha mmoja wa wajamaa wachache mahiri katika suala zima la kujenga hoja. Ule ulikuwa wakati mgumu sana.

Hivi sasa tupo zaidi ya milioni 64 wasomi wengi na vyanzo vya kodi ni vya uhakika.
 
Mzee unaandika unachokijua au unaandika tu sababu ya EGO? wanaomlipa wana naisha gani? Nan anaweza kumlipa huyo mzee? Mzee sio maskini kama mawazo yako yalivyo 🚮
Pesa na mahitaji yake haingalii sura ya mtu. Mimi kusema hivyo haina maana eti ninamdharau Mzee Joseph Warioba, hata kidogo.

Trump anapokea rushwa sembuse mwanasiasa wa Tanzania aliyekuwa serikalini miaka ya nyuma?.
 
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.

Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.

Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.

Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.

View attachment 3385996

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Chadomo mnaweza kumfanya Mzee wenu wa baraza 😂😂
 
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.

Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.

Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.

Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.

View attachment 3385996

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Weka barua ya mwalko hapa.
Kelele bila ushahidi ni vurugu tu
 
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.

Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.

Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.

Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.

View attachment 3385996

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Hapa namuona bashite yupo kazini
 
Si kweli. Warioba kajitenga mwenyewe. Angalia historia yake. Mosi,ni Waziri Mkuu pekee sliyeeahinkufukuzwsvkazi kwa uzembe na kutowajibika. Alifukuzwa na Rais Mwinyi mwaka 1986 akaitwa Malecela kutoka Ubaloxini London ndiye akawa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais. Pili, snsitwa Jaji Warioba lakini actually hajawahibkuwa Jaji su hata Halimu
Tatu, kwenye Tume ya Warioba aliharibu kwa kupendekeza Serkali 3 kwa shinikuzo la CHADEMA na CUF waliotaka Serkali 3 ili Muungano ufe. Aidha,apendekezo mengine ya Tume Ya Warioba ni mambo meeengo ya tunu huku akijua tunu siyo jambo la Muungano na kwamba hapakuwa na Serkali ya Tanganyika kupitisha hizo tunu. Disgruntled and frustrated akawa ni mpigadebe wa CHADEMA kulipiza kisasi.

Inaitwa msiyempenda kaitwapo!
 
Back
Top Bottom