Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,436
- 50,163
š¤£Nimeona Aibu sana!
š¤£Nimeona Aibu sana!
....Anaichafuaje ?....Mzee Warioba wanamlipaga posho tamu tamu za milioni tano kila anapohudhuria vikao vyenye sura za wanaharakati vyenye lengo la kuichafua serikali ya awamu ya sita.
Na ndio msemo wa bongo jua kali ulipoanziaāļøMzee Warioba akiwa AG miaka ya 80 mwanzoni ndio tulikula sana ugali wa yanga, tukapanga foleni za maduka ya kaya. Kinamama wakavaa sana vitenge vya kupika.
Miaka ile baada ya vita ya Kagera kumalizika tulikuwa na rhumba la kufa mtu huko mitaani.
Walishamtenga siku nyingi hawa wapuuzi! Yote hayo ni Kikwete! Huoni hata Kippi wamegoma kumpa U-DC au U-RC!Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Na makamo na yeye katengwa au?Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Anapiga spana sana yule mzee.Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Mkuu,Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
kajitenga mwenyeweKatika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Kiranga hujambo?Mkuu,
Umejiridhisha vipi Mzee Warioba katengwa na hana udhuru mwingine wowote?
Ningemvutia uzi mwanangu Gotta hapa anipe mkeka, ila tatizo Gotta hapendi kuongelea siasa tu šš.
Mbona hata Mpango hakuwepo na haja safiri? Acha kuandika kwa assumptionKatika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Kwahiyo saaa hivi mahindi yanatoka Kizimkazi watu wanapewa wale.Mzee Warioba akiwa AG miaka ya 80 mwanzoni ndio tulikula sana ugali wa yanga, tukapanga foleni za maduka ya kaya. Kinamama wakavaa sana vitenge vya kupika.
Miaka ile baada ya vita ya Kagera kumalizika tulikuwa na rhumba la kufa mtu huko mitaani.
Pia sijamuona mzee John Malacela,sijamuona spika mstaafu Msekwa na sijawaona majaji wakuu wastaafu je,nao wametengwa? Haiwezekani kwamba walikuwa na dharura?Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Uhakika kwamba yupo unao?Mbona hata Mpango hakuwepo na haja safiri? Acha kuandika kwa assumption
Mara ya mwisho nilimuona mkuu wa majeshi nje ya nchi ni kwamba hayupo nchini.Hii nchi imejifia tu hakuna mtu wa maana utamuona apo kwenye ilo Bonanza
Hapo huwezi kuona maasikofu wa RC, Butiku au Warioba
Mpaka mkuu wa majeshi kagoma kuja ndio ujue tulipofikia Sasa!!
Hawa mafisadi watamwaga damu nyingi Sana kuachia madaraka
Mpango yuko NigeriaMbona hata Mpango hakuwepo na haja safiri? Acha kuandika kwa assumption
Unataka tujibu swali lako?Pia sijamuona mzee John Malacela,sijamuona spika mstaafu Msekwa na sijawaona majaji wakuu wastaafu je,nao wametengwa? Haiwezekani kwamba walikuwa na dharura?