Joseph shamba vengu wa orijino komedi

This is a call, kama tuna utu, tunaweza kuanzia hapa kwa kuchanga chochote kuokoa maisha ya binadamu mwenzetu. An account can be opened na kuanza kuchangia au through his collegues, au ndugu wakaribu sina uzoefu wa hivyo lakini naona watu wengi wakifanya hivyo. Kama tuna moyo tunaweza okoa maisha yake. I already pledge 500,000, sijui jinsi ya kuwsilisha. Today its him tomorrow it can be you.
 
Gugu, kama unataka mpelekea Vengu hiyo pesa waweza kwenda Muhi2, Mwaisela wodi 1(one). Mungu akuzidishie moyo wa imani. Mwenzako mimi nilienda kumjulia hali na bado hali yake haijaimarika.
 
wakuu sina hakika lkn nimesoma post sasa hivi mtandaoni inasema vengu hatunaye
 
Hata mimi nimesikia watu kwenye daladala wakisema jamaa ametangulia, ni kweli?
 
Nyie mliozungumzia kifo mmeleta mambo mapya humu.Tunaomba mtuthibitishie jamani
 
dogo anaumwa sana mkuu, yuko ICU mwezi wa pili sasa
Ni vizuri tungefahamu hatua zinazochukuliwa kuokoa maisha ya huyu msanii.inasikitisha sana kwakweli kwa jinsi hali ilivyo.kama kuna kitu kinakwamisha iwe wazi kwa public
 
Jamani muwe waangalifu lkn, wewe na mimi tuna imani bt wengine wamekalia kufa kufaana tu. Na ndio maana imani inatoweke kadri siku zinavokwenda mbele.
 
nimemuona kwenye gazeti la jana amelazwa muhimbil hospital ana rais wetu JK alipita kumpa pole naona yuko kwenye oxygen sijui anaumwa nini??[walisema ana matatizo sehemu ya ubongo yanayomfanya awe anaanguka na kube vile watu walivokua wanafikiria anaangusha gari kisa pombe sio kweli]
 
get well soon 5.jpg

We always hope for the best Mkuu.
 
This is a call, kama tuna utu, tunaweza kuanzia hapa kwa kuchanga chochote kuokoa maisha ya binadamu mwenzetu. An account can be opened na kuanza kuchangia au through his collegues, au ndugu wakaribu sina uzoefu wa hivyo lakini naona watu wengi wakifanya hivyo. Kama tuna moyo tunaweza okoa maisha yake. I already pledge 500,000, sijui jinsi ya kuwsilisha. Today its him tomorrow it can be you.
wewe banaaa,kluna watu wengi wenye shida na hawana hata senti; hiyo pesa peana maskini, sioni kama vengu amefulia kiasi cha kuhitaji michango kwa ajili ya kutibiwa, sisi watanzania tunapenda sana publicity. ukiskiza RFA jumapili watu wengi wanalia shida lakn michango nehi, lakin akiumwa mtu maarufu michango kibao hata kama mtu huyo ana uwezo wa kujigharimia, aaaaaaaaargh. nothing personal kaka, RIP vengu kama kweli ametutoka kama tetesi zinavoskika mitaani.
 
Aiseee yupo yule jamaa siku hizi anafanya kazi za nyumbani kwa Manji na pale TBC1 ukiwahi asubuhi utamkuta anafagia. Wale wenzake huwa kazi za nyumbani wanafanya usiku pale kwa Manji.

Hebu nielezee vizuri mkuu, kazi gani hizo wanazofanya ucku?
 
wewe banaaa,kluna watu wengi wenye shida na hawana hata senti; hiyo pesa peana maskini, sioni kama vengu amefulia kiasi cha kuhitaji michango kwa ajili ya kutibiwa, sisi watanzania tunapenda sana publicity. ukiskiza RFA jumapili watu wengi wanalia shida lakn michango nehi, lakin akiumwa mtu maarufu michango kibao hata kama mtu huyo ana uwezo wa kujigharimia, aaaaaaaaargh. nothing personal kaka, RIP vengu kama kweli ametutoka kama tetesi zinavoskika mitaani.

How could u be so heartless, well if he didnt need the help he would have been in India already getting better medical help. You dnt have to jump into coclusions just cause u dnt wana help or cant others are kind enough to. You dnt have to label everything. May God help Vengu.
 
Back
Top Bottom