Joseph shamba vengu wa orijino komedi

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Wana Jukwaa!!! Hivi yule selebu maarufu wa kundi la vichekesho la ORIJINO KOMEDI, JOSEPH SHAMBA yu wapi siku hizi? Maana ni muda mrefu nafuatilia vipindi vya komedians hao na simuoni. Pia hata katika ziara zao za mikoani pia haambatani na kundi hilo mahiri
 
unazungumzia yule 'mrema?'. nasikia wamemsimamisha kwa utovu wa nidhamu. period.
 
Yeye siyo mwana CCM ndo maana Amewakimbia hao wenzake vibaraka wa CCM vinanjaa kali.
 
Alikuwa anatia aibu,kunywa pombe apaka hajielewi!No bora walivyo msimamisha ili akae nyumbani ajifunze namna ya kuendesha maisha
 
Aiseee yupo yule jamaa siku hizi anafanya kazi za nyumbani kwa Manji na pale TBC1 ukiwahi asubuhi utamkuta anafagia. Wale wenzake huwa kazi za nyumbani wanafanya usiku pale kwa Manji.
 
Unajua mswahili anapoibuka kutokea hali ya chini sana na kuingia kwenye unafuu huwa anajisahau kabisa.
Naskia yule bwana mdogo baada ya kupata pesa za kubadili vijins na ule umaarufu akawa sio yeye tena.
Hadi rules akawa amezisahau.
 
Mmmh sasa wamemsimamisha au wamemfukuza???? Mbona imekuwa muda mrefu sana?
Baada ya hili tukio, sijawahi kumtia tena ==> machoni:A S 103:
 
Wamemuonya sana akawa hajirekebishi,wakaamua safari hii wamuweke bench kwa muda mrefu ili ajifunze,punde atarejea
 
Yeye siyo mwana CCM ndo maana Amewakimbia hao wenzake vibaraka wa CCM vinanjaa kali.

Mkuu wale ile ni kazi yao,wale wapi? Na kwasasa wanatumia TBC na kwa namna fulani CCM imo. Tuwaache watafute mlo wao.
Wewe leo ungekuwa doctor ukachagulia kuwa doctor wa kikwete kaambiwa unaganga njaa ingekuwa sawa???? Nafikiri ni vema tutofautishe kazi ya mtu inayompa kuishi na ushabiki wa siasa kama kwa wale wenye kazi nyingine zinzowaingizia kipato.
Nina amini hata hao vijana wa komedi orijino kila mmoja wao binafsi inaweza kuwa shabiki ya chama au mgombea fulani lakini kwa sababu ya nature ya kazi yake hawezi kuweka hadhari kama wengine
 
acha hizo hapa no too low
hata wewe nawe una levels?? kama alichosikia afanyeje??

Dogo was promising na aliweza kuandika hata kitabu, tatizo ni ushamba wa kuja mjini umemmaliza, na mimi nilisikia aliliwa kiboga...
 
Back
Top Bottom