ok ok kumbe uko dar,nlidhan uko rombo. watu wa dar wanajua mchapakaz ni akina idd azan na zungu,njoo huku rombo tutakwambia bora Selasini mara mia kuliko mramba,waambie wazee wa dar wasiwe na uendawazimu kwa kuwa selasin hawezi kuleta maendeleo nd
Mi niko Rombo, Tarakea hapa. Huyu mbunge wetu ovyo. tangia amechaguliwa hajawahi kuja kusikiliza kero za wananchi na anapopata nafasi ya kuongea hasemi la maana, zaidi anaunga mkono wabunge kuongezewa Posho.
Akiwa THB mnamo miaka ya 1990 alihusika na wizi wa gari ya mwajiri wake. Ila Urassa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu akaipotezea kwa vile yeye ndiye alimleta THB.

acha we upo tarakea ip sehemu gan selasin lazima uweke strategic unajua ishu ya tajir mauld ilivumbuliwa na nan alikuwa halip TRA toka lini
Rostam aliyekaa 17 yrs Igunga kafanya nini?Usilete ubwege hapa...!Tumalize ubishi WABUNGE WOTE WA CDM hakuna kitu kabisa HERI YA WALE WA CCM.Wabunge wa cdm hadi sasa maendeleo waliofanya majimboni ni MAANDAMANO na VURUGU tu.Kutaka kusikika kwenye vyombo vya habari.
wewe mbunge wa jimbo lako ni Majimarefu??Mkuu apewe muda gani tena anashindwa kutoa hata kauli ktk hili la sukari? kweli hata mimi katika hili kanikera saaaanaa, Muda wa kubadilika ndo huu asisubiri uchaguzi ufike ndo ajifanye anajua kubonga
Pole mkuu naona hujui kuwa CDM ni CHAMA UPINZANI na si chama tawala B wao hawapigi rangi upepo ni lazima wawajibike kama wananchi walivyo wachagua kama WAPINZANI mara nyingine uwe unajilazimisha kuelewaTumalize ubishi WABUNGE WOTE WA CDM hakuna kitu kabisa HERI YA WALE WA CCM.Wabunge wa cdm hadi sasa maendeleo waliofanya majimboni ni MAANDAMANO na VURUGU tu.Kutaka kusikika kwenye vyombo vya habari.
Selasini amka baba unakiangusha chama cha wapambanaji
Akiwa THB mnamo miaka ya 1990 alihusika na wizi wa gari ya mwajiri wake. Ila Urassa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu akaipotezea kwa vile yeye ndiye alimleta THB.
Umemsahau jamaa yenu zitto. Na yy hajafanya kitu?Tumalize ubishi WABUNGE WOTE WA CDM hakuna kitu kabisa HERI YA WALE WA CCM.Wabunge wa cdm hadi sasa maendeleo waliofanya majimboni ni MAANDAMANO na VURUGU tu.Kutaka kusikika kwenye vyombo vya habari.
Akiwa THB mnamo miaka ya 1990 alihusika na wizi wa gari ya mwajiri wake. Ila Urassa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu akaipotezea kwa vile yeye ndiye alimleta THB.
gombeeni hilo jimbo kwa tiketi za NCCR/CCM manake nyie ni wazee wa kupika majunguNiko na wazee na vijana kijiweni dar, kuna wa2 wa ROMBO wanalalamika wa2 wa kwao kumchagua Selasini.wanasema hajafanya chochote n anataka posho iongezwe.yeyote anaejua mazuri ya mh huyu anipe niwaelimishe coz wanasema bora mramba