Joseph Msukuma ni nani?

Joseph Msukuma ni nani?

Ni rafiki wa kufa na kuzıkana wa mgombea urais wa UKAWA.Yeye na Mgeja ndo ambao Lowasa aliwapa jukumu la kumobilize watu wa kanda ya ziwa wakati wa kura za maoni.
 
Ni mwenyekiti Wa CCM Wa mkoa Wa Geita, ni mfanyabiashara za madini ya Almasi katika mji Wa Geita. Halipi kodi popote, Elimu yake ni darasa la saba, ni muumini mzuri sana Wa mambo ya kishirikina, alikuwa mfuasi mtiifu Wa Lowassa kabla ya Lowassa kuhama CCM, Kwa sasa anajipendekeza sana kwa Magufuli huku akimtukana matusi mabaya Lowassa.

Ni darasa la saba moja hivi aliyepata pesa kwa ujambazi

Tulieni dawa iwaingie 💊💩💩
 
Simjui nasikia tu Msukuma, na wanasema anayo pesa chafu, anayo Elikopta, ni kijana mdogo.

Naombeni WanaJF niambieni kuhusu huyu mtu anafanya nini, anabishara gani??? Na je kama anayo biashara kodi zake analipa???

Huyu jamaa aliwahi ishi arusha na alimpozaga meneja wa benki moja hapa arusha albino kufukuzwa,baada ya kukopa ml 500 na kuingia mitini
 
Simjui nasikia tu Msukuma, na wanasema anayo pesa chafu, anayo Elikopta, ni kijana mdogo.

Naombeni WanaJF niambieni kuhusu huyu mtu anafanya nini, anabishara gani??? Na je kama anayo biashara kodi zake analipa???

_MG_7954.jpg
 
Kumbe ndio maana anatumia nguvu kubwa kumtukana Lowassa. Ni kweli anayo akili ya darasa la Saba ukichanganya na ujambazi. Wanapatikana tu CCM.
Kwa akili yake finyu anamtukana Lowassa ili Magufuli amwamini kuwa yy co rafiki wa Edward. Kwaio anayafanya yote haya kwa ajili ya kulinda wizi wake.

Lowassa akishinda urais utamsikia tena ooh nilikuwa kule ili nipate habari.

Lowassa kahama kwa mapenzi yake, kwani acngemtukana lowassa akaendelea na ccm yake,kulikuwa na matatizo gani. Kweli CCM ni kichaka cha kila kitu.

Jambazi, mchawi leo ndio kampeni meneja wa Magufuli. Ccm kwisha
 
Simjui nasikia tu Msukuma, na wanasema anayo pesa chafu, anayo Elikopta, ni kijana mdogo.

Naombeni WanaJF niambieni kuhusu huyu mtu anafanya nini, anabishara gani??? Na je kama anayo biashara kodi zake analipa???

kamuulize lowasa anamjua viziri sana
 
Sasa huyu Magufuli anayejinasibu kuwa atapambana na ufisadi mbona haonyeshi matumaini maana wenye kashifa ndio mameneja wa kampeni.. Kweli zilongwa mbali zitendwa mbali..
 
Ni darasa la saba moja hivi aliyepata pesa kwa ujambazi

Alipokuwa Rafiki Wa Kubwa La MAJAMBAZI Mgombea Wa Urais Wenu Akiwa CCM Hamkuliona Hilo? Naomba Majibu Ili Unirahisishie Kujua Uwezo Wako Wa AKILI au KUFIKIRI.
 
Back
Top Bottom