kikonyoro
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 715
- 331
Kama Lowassa alivuruga itifaki kumpokea Msukuma Arusha na akamruhusu aongee kabla ya waliomtangulia na huku CCM ndio usiseme wanavyomheshimu kumbe anafaa kugombea hata urais wa Tanzania.
Inasemekana katika ukoo wao yeye ndiye maskini kuliko wote ingawa chopa aliyonayo kainunua sh trilion 215 kutoka kampuni inayounda madege ya kijeshi ya kimarekani ya Texas.
Msukuma oyee ....
duu mkuu maramia punguza tarakimu ama iyo thaman ya pesa zetu za madafu lakini ni nyingi sana ulimi umetereza umekula mrenda trilion 215???!!