Joseph Mbilinyi (SUGU) MB afanya kweli Mbeya Mjini

Msiwadanganye watu ambao hawajafika Mbeya.

Miradi hiyo haikuanzwa wala kufikiriwa na huyo mpiga zumari, Sugu
Miradi mnayoitaja mingine imekuwepo hata kabla Sugu hajaanza kuimba.

Zaidi ya hapo hebu mtuonyeshe jinsi huyo Sugu anavyoweza kuondoa machinga barabarani pale Mwanjelwa.
Barabara ya kimataifa imegeuzwa kuwa uchochoro wa mtaa wa Congo, na foleni haziishi tokea Mafiati hadi Sai.

Kama huyo Sugu wenu ana akili ya kumtosha atatue hilo tatizo- hapo mtasikia ooooh, sie hatuhusiki!!
Barabara zimeanza kujegwa kabla sugu hajaanza kuimba ila kukamilika ni baada ya sugu kuwa mbunge mwenye akilia ataelewa nini maana ya uongozi na utawala!
 
Sugu yuko mbeya kwa ajili ya maendeleo ya wana mbeya. Bara bara zinajengwa akiwa mbunge swali la kujiuliza kwani mbeya CCM ilikuwa na wabunge wangapi tangia uhuru zisijengwe bara bara. Sugu ameonyesha uwezo wa kuwa mbunge wa mbeya wa kudumu.

Miaka miwili kila mkataba unatekelezwa. Kazi sawia ya mbunge. Moto chini na wananchi wanaona.
 
Msiwadanganye watu ambao hawajafika Mbeya.

Miradi hiyo haikuanzwa wala kufikiriwa na huyo mpiga zumari, Sugu
Miradi mnayoitaja mingine imekuwepo hata kabla Sugu hajaanza kuimba.

Zaidi ya hapo hebu mtuonyeshe jinsi huyo Sugu anavyoweza kuondoa machinga barabarani pale Mwanjelwa.
Barabara ya kimataifa imegeuzwa kuwa uchochoro wa mtaa wa Congo, na foleni haziishi tokea Mafiati hadi Sai.

Kama huyo Sugu wenu ana akili ya kumtosha atatue hilo tatizo- hapo mtasikia ooooh, sie hatuhusiki!!
ungejaribu kuwa mvumilivu kuficha haya yako iloo sura mbayaa msumali umekuchoma na baado
 
Naogopa kutukana siku ya leo, kwani ukianza na tusi utamaliza kwa matusi acha tu nikuache ila nikueleweshe.
Mimi nimekaa mza miaka zaidi ya 18 na mbeya naijua kama kiganja changu! Haya kama hapo si mbeya, mwanza ni sehemu gani? Hapo ni mbeya kwenye round about ya kwenda Hospital ya mkoa na ile ya kuelekea ofisi za jiji (Halmashauri) na barabara nyingine ndiyo hiyo unayoingilia kama unatokea Mafiati au CRDB.
Kamongo we.

Mkuu hapo ni mwanza,round about ya makongoro road(airport road),nyerere road na kenyatta road..fanya tu kumuomba radhi jamaa
 
Ingependeza kama watu wazima na akili zetu tukabishana bila kugombana na kwa kujenga hoja, aina ya ushabiki wa siasa za namna hii na usio na upeo wa maendeleo unatufanya kama watanzania tuwe tulivyo hadi leo na hakuna anaejali na hii ni hatari sana kwa sisi kama wazazi wa watoto wetu kwa dhamana adhimu tuliopewa na jinsi tunavyolichukulia kimzaha suala la na mustakbali wa taifa letu na vizazi vijavyo!

Nimeona nianze kama nilivyo anza hapo juu ili kuonyesha msimamo wangu binafsi na bila kuegemea upande wowote. Nikiwa mtu ambaye naifahamu mbeya kwa kiasi cha mwenyeji yeyote ningependa nichangie mjadala huu kama ifuatavyo:
1. Barabara zinazojengwa sasa hivi mbeya hazina uhusiano wowote na ama uwepo au kutowepo kwa sugu kama mbunge. Kinachoendelea katika mengi ya majiji yetu mengi ni msaada/mkopo wa kuboresha hali ya majiji katika baadhi ya majiji katika nchi za afrika, kwa wanaopenda ukweli wanaweza wakaangalia vibao vya kazi husika vinaonyesha pesa zimetoka wapi na mkandarasi ni nani, mshauri wa mradi ni nani na msimamizi ni nani (mara zote msimazi huwa ni halmashauri ya jiji)

Utaona kwamba hii haihusiani na siasa za ndani bali siasa za kimataifa ambazo zilisharatibiwa zamani na kwamba imetokea tu kwamba utekelezaji wake unafanyika wakati huu.

2.Kwa wenye maslahi na mradi huu, badala ya kufanya siasa za majukwaani na upambe tunatakiwa kuwa makini na yafuatayo: a). kwa maoni yangu mimi viwango vya barabara husika mpaka hatua zilizo fikia haziridhishi hivyo wasimamizi wana kazi ya ziada ya kufanya hapa vinginevyo tutatumia barabara hizi kwa kipindi kifupi sana halafu tutarudi kwenye hali tuliokuwa nayo.
b). Hali ya mtiririko wa asili wa maji (drainage system) ya mbeya imeathirika vibaya na ujenzi holela, hii inapelekea sehemu kubwa ya hizo barabara kuwa na tatizo la wapi maji ya mvua yaende. CICO (kampuni ya ujenzi) imejenga vikutanisha barabara na mifereji (culvert) tatizo bado linakuwa kwamba maji yaende wapi? Mfano mahsusi wa hili ni eneo la mafiat airport ambako maji yakishafika kwenye culvert yanakosa uelekeo.

Hivyo badala ya kuchapa politic kwenye screen za komputa tuangalie mambo ya msingi kwani barabara ningi kama sio zote za Arusha hazikuwepo miaka miwili iliyopita nilipotembelea huko mara ya mwisho lakini kwa sasa Arusha barabara zake za mjini nikichukulia makao mapya kama mfano zimejengwa vizuri na zina viwango vizuri naamini suala ni usimamizi na si vinginevyo kwani mafungu ni hayo hayo kwanini viwango vitofautiane?

TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Naogopa kutukana siku ya leo, kwani ukianza na tusi utamaliza kwa matusi acha tu nikuache ila nikueleweshe.
Mimi nimekaa mza miaka zaidi ya 18 na mbeya naijua kama kiganja changu! Haya kama hapo si mbeya, mwanza ni sehemu gani? Hapo ni mbeya kwenye round about ya kwenda Hospital ya mkoa na ile ya kuelekea ofisi za jiji (Halmashauri) na barabara nyingine ndiyo hiyo unayoingilia kama unatokea Mafiati au CRDB.
Kamongo we.

mkuu uko sahihi mimi mwanza kwetu nimekaa mbeya 7 yaers hilo eneo ni kweli ni round about ya barabara ile inakuja uhindini, sokoni matola,(hospital ya mkoa aka central police) na ile ya kuelekea uwajanja wa mpira wa sokoine (Mwanjelwa)
 
Naogopa kutukana siku ya leo, kwani ukianza na tusi utamaliza kwa matusi acha tu nikuache ila nikueleweshe.
Mimi nimekaa mza miaka zaidi ya 18 na mbeya naijua kama kiganja changu! Haya kama hapo si mbeya, mwanza ni sehemu gani? Hapo ni mbeya kwenye round about ya kwenda Hospital ya mkoa na ile ya kuelekea ofisi za jiji (Halmashauri) na barabara nyingine ndiyo hiyo unayoingilia kama unatokea Mafiati au CRDB.
Kamongo we.
Ha ha ha !
waambie hao macho kumchuzi!
 
Du!yani mipango ya izo barabara ni tangu miaka ya sitini,mbeya imeongozwa kwa mda wa miaka 48 na ccm lakini amekuja muhuni ndani ya miaka miwili zimejengwa??kwa iyo mnamuogopa ndo maana mnajenga au?????na hapa mwanza vp tena???ni mipango ya miaka mingapi iliyopita???

na Arusha waseme ni mpango wa mwaka..
 
Anayejamba ni yule babu yako kule Mwibara baada ya kula kichuri kibichi!

Acheni usanii nyie toeni mistari tu ya usanii, kazi muwaachie wanaume.

Mtetezi wa ufisadi ni kafiri maana anapingana na Mungu.
 
Ingependeza kama watu wazima na akili zetu tukabishana bila kugombana na kwa kujenga hoja, aina ya ushabiki wa siasa za namna hii na usio na upeo wa maendeleo unatufanya kama watanzania tuwe tulivyo hadi leo na hakuna anaejali na hii ni hatari sana kwa sisi kama wazazi wa watoto wetu kwa dhamana adhimu tuliopewa na jinsi tunavyolichukulia kimzaha suala la na mustakbali wa taifa letu na vizazi vijavyo!

Nimeona nianze kama nilivyo anza hapo juu ili kuonyesha msimamo wangu binafsi na bila kuegemea upande wowote. Nikiwa mtu ambaye naifahamu mbeya kwa kiasi cha mwenyeji yeyote ningependa nichangie mjadala huu kama ifuatavyo:
1. Barabara zinazojengwa sasa hivi mbeya hazina uhusiano wowote na ama uwepo au kutowepo kwa sugu kama mbunge. Kinachoendelea katika mengi ya majiji yetu mengi ni msaada/mkopo wa kuboresha hali ya majiji katika baadhi ya majiji katika nchi za afrika, kwa wanaopenda ukweli wanaweza wakaangalia vibao vya kazi husika vinaonyesha pesa zimetoka wapi na mkandarasi ni nani, mshauri wa mradi ni nani na msimamizi ni nani (mara zote msimazi huwa ni halmashauri ya jiji)

Utaona kwamba hii haihusiani na siasa za ndani bali siasa za kimataifa ambazo zilisharatibiwa zamani na kwamba imetokea tu kwamba utekelezaji wake unafanyika wakati huu.

2.Kwa wenye maslahi na mradi huu, badala ya kufanya siasa za majukwaani na upambe tunatakiwa kuwa makini na yafuatayo: a). kwa maoni yangu mimi viwango vya barabara husika mpaka hatua zilizo fikia haziridhishi hivyo wasimamizi wana kazi ya ziada ya kufanya hapa vinginevyo tutatumia barabara hizi kwa kipindi kifupi sana halafu tutarudi kwenye hali tuliokuwa nayo.
b). Hali ya mtiririko wa asili wa maji (drainage system) ya mbeya imeathirika vibaya na ujenzi holela, hii inapelekea sehemu kubwa ya hizo barabara kuwa na tatizo la wapi maji ya mvua yaende. CICO (kampuni ya ujenzi) imejenga vikutanisha barabara na mifereji (culvert) tatizo bado linakuwa kwamba maji yaende wapi? Mfano mahsusi wa hili ni eneo la mafiat airport ambako maji yakishafika kwenye culvert yanakosa uelekeo.

Hivyo badala ya kuchapa politic kwenye screen za komputa tuangalie mambo ya msingi kwani barabara ningi kama sio zote za Arusha hazikuwepo miaka miwili iliyopita nilipotembelea huko mara ya mwisho lakini kwa sasa Arusha barabara zake za mjini nikichukulia makao mapya kama mfano zimejengwa vizuri na zina viwango vizuri naamini suala ni usimamizi na si vinginevyo kwani mafungu ni hayo hayo kwanini viwango vitofautiane?

TAFAKARI CHUKUA HATUA.

Nakubaliana kwa asilimia mia moja na observeration hii ya huyu mkuu.

Sugu hana lolote wala chochote, uwezo wake wa kufikiri hauna tofauti na wamachinga wa ple Mwanjelwa.

Maendeleo sio populist cult, tunataka mikakati ya klifanya jiji la Mbeya kuwa jiji la kisasa. A siyo uwezo wa mtu kurap na kuuza mitumba barabarani.

Majiji ya watu makini kama Arusha na Mwanza yamebadilika na sisi tunayaona katika mika 10 iliyopita.

Ukiweka mbunge au muwakilishi aliye na upeo wa kufikiri sawa sawa n mtu anayeuza ndizi, viazi, mitumba barabarani tusitegemee makubwa kwa maana ya maendeleo.
 
Huo utekelezaji umeanza baada ya chadema kushinda bunge za mjini? Peleka hili liinsha lako kwa wanafiki wenzako wa ccm
 
Nakubaliana kwa asilimia mia moja na observeration hii ya huyu mkuu.

Sugu hana lolote wala chochote, uwezo wake wa kufikiri hauna tofauti na wamachinga wa ple Mwanjelwa.

Maendeleo sio populist cult, tunataka mikakati ya klifanya jiji la Mbeya kuwa jiji la kisasa. A siyo uwezo wa mtu kurap na kuuza mitumba barabarani.

Majiji ya watu makini kama Arusha na Mwanza yamebadilika na sisi tunayaona katika mika 10 iliyopita.

Ukiweka mbunge au muwakilishi aliye na upeo wa kufikiri sawa sawa n mtu anayeuza ndizi, viazi, mitumba barabarani tusitegemee makubwa kwa maana ya maendeleo.
Naona umekalia msumari wa moto Sugu anapiga mzigo. Sugu hajaoa alikutosa nini? Njoo Huku Mombasa tukuvalishe Pete ufarijike
 
You must be CRITIQUE.Siyo kulaumu tu.Shauri watolewe then wapelekwe wapi?
Hivi ni kweli kuanzia Mafiat kuna machinga kama siyo upotoshaji?Hao machinga wapo sehemu gani barabarani hadi huko Sai.Nahis wewe ulipita usiku na kama ni mchana basi ulifumba macho.
Msongamano wa Mbeya hauna tofauti na ule wa Dar.Ni wembamba wa barabara na kumbuka pale mafiat na makutano ya barabara kutoka Tunduma/Zambia.airport na mjini.Unaategemea kusiwe na msongamano wakati hakuna taa za kuongozea magari.
Tutumie akili zetu kufikiria chanzo cha matatizo ni si kuandika tu!
Mkuu wewe akili na upeo wako sawa sawa na wa Sugu tu.
Nyie ndo watu mliotoka vijijini na kuhamia mjini bila kujua kuwa uendeshaji wa miji una taratibu zake.

Huwezi kulinganisha Mbeya na Jiji lolote nchini , Mbeya ni unique kwa maana ni a major transit route kwenda ziaidi ya nchi tano.

Mtu unapobweteka na kukubali ile foleni ya mafiati kwa vile inalingana na ya DSM basi nakushauri urudi kijijini ulikotoka na kuwaachia wajuzi kuendeleza jiji la Mbeya.
 
Naona umekalia msumari wa moto Sugu anapiga mzigo. Sugu hajaoa alikutosa nini? Njoo Huku Mombasa tukuvalishe Pete ufarijike
Mkuu ukiwa na mawazo ya kikameruni unajua mwenyewe kule unakostahili, kwa wastaarabu waachie wastaarabu, kwako ni ushenzini.
 
kmsng hata mfanye nin sugu hatok mbeya,2nampenda xana..mnapoteza mda wenu bure kumponda haitasaidia chochote..
 
Kila la kheri Mh. Mbilinyi, stay FOCUSED and BLESSED
 
Msiwadanganye watu ambao hawajafika Mbeya.

Miradi hiyo haikuanzwa wala kufikiriwa na huyo mpiga zumari, Sugu
Miradi mnayoitaja mingine imekuwepo hata kabla Sugu hajaanza kuimba.

Zaidi ya hapo hebu mtuonyeshe jinsi huyo Sugu anavyoweza kuondoa machinga barabarani pale Mwanjelwa.
Barabara ya kimataifa imegeuzwa kuwa uchochoro wa mtaa wa Congo, na foleni haziishi tokea Mafiati hadi Sai.

Kama huyo Sugu wenu ana akili ya kumtosha atatue hilo tatizo- hapo mtasikia ooooh, sie hatuhusiki!!

Nakubaliana nawe kwenye hilo........
 
Back
Top Bottom