AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 1,990
- 5,095
Kikwete mwenye huko bongo lendi ametoka mguu mmoja tena ametoka na remont yake uko DRC mwamba alitoka miguu miwili na alisahau remont yake sasa anaitaka
Hawa ndo viongozi wa Afrika wabinafsi na waroho wa madaraka.Ni mjinga sana
Hana adabu
Kawa rais kwa miaka 15 lakin bado ujinga wa tamaa haujamtoka
Aibu sanaAmekuwa rais miaka 18 lakini bado ana uchu wa madaraka kweli waafrika aliyeturoga alishakufa
Jamaa kahukumiwa kifo na Tshisekedi, unataka aishije sasa?Ila huyu Kabila anashangaza mno, mtu ushakua rais kwa miaka 15+, si atulie ale pensions, au huko hawana utaratibu huo?
Duuh hatarii sana.Jamaa kahukumiwa kifo na Tshisekedi, unataka aishije sasa?
Lazima achukue DRC, afute Ile hukumu awe huru.