Joseph Haule(Professor Jay) azindua kampeni mikumi

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Picha za uzinduzi wa kampeni!
 
Attachments

  • 1441557341067.jpg
    1441557341067.jpg
    47 KB · Views: 1,234
  • 1441557357491.jpg
    1441557357491.jpg
    49.9 KB · Views: 1,136
  • 1441557374001.jpg
    1441557374001.jpg
    59 KB · Views: 1,098
  • 1441557387051.jpg
    1441557387051.jpg
    49 KB · Views: 1,094
twende kazi majungu hayampeleki magufuri Ikulu walizoea kila siku tunaingia na gia ya kuponda sasa gia ya kutangaza maendeleo
 
Sio mwanaharakati kama MWANA FA harakati zake zote yeye na maduu dam dam ...yahaya unaishi wapiiiiii ?
Hongera Prof Haule
 
Nyimbo alizoimba Professa zitambeba sana na baada ya kushindwa kutimiza ahadi miaka mitano endapo atafanikiwa kuwa mbunge na akashindwa kutelekeza ahadi
Zake alizoahidi
Nyimbo hizo hizo
Zitamuhukumu.
 
hivi taifa tunalipeleka wapi hili taifa kwa kuwapeleka bungeni watu aina ya jay.. ikija miswada ya mafuta na gesi.. au shilingi kushuka atajadili nini kwa mfano... tuache ushabiki hatuwahitaji watu hao kwa sasa...
 
refer to kibajaji, Prof majimafupi na kuna yule mzee wetu profesa wa ukweli mzee magimbi walikuwepo bungeni tupia manufaa yao na faida walizotupatia.
 
hivi taifa tunalipeleka wapi hili taifa kwa kuwapeleka bungeni watu aina ya jay.. ikija miswada ya mafuta na gesi.. au shilingi kushuka atajadili nini kwa mfano... tuache ushabiki hatuwahitaji watu hao kwa sasa...

Kaka unamfahamu Joseph Haule vizuri au unamsikia tu nyimbo zake??

Umewahi kukaa nae hata dakika mbili ukamsikia akiongea??

Tusiongee tu kijuujuu na kuhukumu kijuujuu.....kama humfahamu vizuri ni vema ukakaa kimya...

Jana nilikuwa na mazungumzo na kiongozi mmoja wa CCM Mikumi hapa Morogoro na anakiri wazi kuwa hali ya CCM Mikumi ni mbaya

Nilipompenda ni kuwa objective enough kwamba hata kama aatapoteza jimbo likachukuliwa na Joseph bado hatakuwa na Kinyongo kwani watakuwa wamepata mwakilish mzuri japo itamuumiza kama mwanaCCM

Hawa ni watu wanaomfahamu vizuri na kushindana nae wana-guts za kukiri uwezo wake
 
Back
Top Bottom