Profesa J amuomba Godbless Lema kufanya Mikutano ya Hadhara Mikumi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,788
218,415
Mbunge wa Zamani wa Jimbo la Mikumi Mkoani Morogoro , Joseph Haule , leo amemuomba Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama chake , Mcha Mungu Godbless Lema kuandaa na kuvurumisha Mikutano ya hadhara Jimboni humo kwa niaba yake

Hayo yamebainika wakati Mh Lema alipofika nyumbani kwa Profesa J kumjulia Hali kutokana na Kuugua kwa muda mrefu .

Mtu wa Mungu Godbless Lema amekubali kupiga mikutano ya hadhara kwenye kata zote za Jimbo la Mikumi , na kwamba shughuli hiyo itaanza mara moja .

Usiondoke JF ili usikose Ratiba Kamili ya Mikutano hii .
 
FB_IMG_1688929527397.jpg
 
Kazi kwa kwenda mbele
 
Mungu awabariki sana.

Hatimaye Prof J Mungu amemponya.

Mtu wa Haki amtumainiye Bwana.
Endelea kumuombea bado hajapona, ndiyo maana anamuomba Godbless Lema akamfanyie mikutano jimboni kwake.

Angalia tu hata pozi lake kwenye picha, ni yeye kama si yeye!
 
Ni kweli lakini anaendelea vizuri sana
 
Back
Top Bottom