Joseph Haule (Profesa J) speed 200 ni utekelezaji tu

hivi mtu kama Nape ameshakanyaga tena jimboni kwake Mtama baada ya kuchaguliwa?
 
Kuna mbunge mwingine anaitwa Richard ndasa!wa sumve jamaa kutwa Yuko mango garden analewa ikikaribia chaguzi ndiyo anaenda kimboni kwake.
 
RIP DEO nae alikuwa mchapakazi lakini ccm wakampenda zaidi
 
Kuna mbunge mwingine anaitwa Richard ndasa!wa sumve jamaa kutwa Yuko mango garden analewa ikikaribia chaguzi ndiyo anaenda kimboni kwake.

vipi maendeleo ya jimboni kwake ? nadhani huyu ni kati ya wabunge wa siku nyingi zaidi .
 
Anapasua au anatembelea wapasuaji? Kwani anajenga kwa pesa yake? Ni yapi majukumu ya mbunge? Hatutaki mambo ya selfie hapa, hata hoja bungeni kuombea bajeti hiyo barabara hajatoa. Sasa ni ahadi ipi anayotekeleza?
 
Huko hakuna cha maendeleo wala nini! Sema vilaza ni wengi zaidi huko watu wasiyojielewa kabisa
 
Komaa jembelangu, nakuomba uendelee hivyohivyo, hata ukienda bungeni usiwe kama wauza sura wakina John Mnyika, Lema, Mdee, etc maneno mengi huku jimboni hakuna cha maana wanachofanya, we endelea kupiga kazi tu uwaletee maendeleo waliokutuma
 
Ngoja nimlete humu ajisomee mwenyewe maoni ya wananchi. ....jina lsngu linavuma...kwenye mitaa..jina langu lina hadhi ya kisuperstar..... Kweli aisee
 
hivi mtu kama Nape ameshakanyaga tena jimboni kwake Mtama baada ya kuchaguliwa?

Hana hela subiri waki anza kupokea mshahara ataenda, hana hela ya kulala hotel/ guest house, na kwa jinsi magufuli alivyo bana atarudi huko 2020 kuomba kura nyingine, sasa hivi anshuhulika na kina WEMA SEPETU kwanza, kuifundisha taifa stars jinsi ya kupiga goli la mkono. #yahaya.
 
Anapasua au anatembelea wapasuaji? Kwani anajenga kwa pesa yake? Ni yapi majukumu ya mbunge? Hatutaki mambo ya selfie hapa, hata hoja bungeni kuombea bajeti hiyo barabara hajatoa. Sasa ni ahadi ipi anayotekeleza?
wivu mbaya sana, miaka 54 ya uhuru wabunge wa ccm wameshindwa hili analofanya Jay, kama hamtaki selfie basi mwambie Magufuli na Majaliwa, waache kwanza maana ndio wanaongoza kwa selfie, bandari, kukimbizana na vidagaa.
 
Kiazi kweli wewe. Hiyo ni miradi iliyopitishwa bajeti iliyopita. Yeye kaenda kupiga picha tu ili awaokote wavivu kufikiri kama wewe
 
Anapasua au anatembelea wapasuaji? Kwani anajenga kwa pesa yake? Ni yapi majukumu ya mbunge? Hatutaki mambo ya selfie hapa, hata hoja bungeni kuombea bajeti hiyo barabara hajatoa. Sasa ni ahadi ipi anayotekeleza?

...

....ukoo wa majipu
 
Back
Top Bottom