Joseph Haule (Profesa J) speed 200 ni utekelezaji tu

Joseph Haule (Profesa J) speed 200 ni utekelezaji tu

....

......jamaa kaumia sana !!

Si ndio hapo sasa..! Chuki ya nini, na ata kama akisema hela ni ya serikali sawa hatukatai, je kipindi yupo mbunge mwingine yeye hakupewa hiyo hela??? Na kama hakupewa kwanini Joseph haule yeye apewe?
 
Mabomba yote ya yatatoa maziwa!
Ndiyo mzee!!
Nitaweka lami barabara hadi chooni!
Ndiyo mzee! Ndiyo mzee!!...
Kuna mwenye swali??? Siyo mzee!
 
Kona bar kama hutumii nguvu nyingi zitakazosababisha friction na joto kali haina haja ya kuvaa safety gear.

Ila hilo bulldozer ukikamatwa unaendesha bila safety hiyo kona bar utaisikia kwenye bomba...
Mswahili anasema chezea nshahara usichezee kazi....

ni dumper siyo bulldozer
 
Professor J ni mmoja Wa vijana Wa kisasa anaetumia akili yake ya kuzaliwa vizuri,ubunge ni ajira kama tunavyoamka asubuhi daily kwenda Posta,sasa J anajua ili kitumbua kiendelee kuwa ndani ya himaya yake jambo kuu ni kuwahudumia wananchi,wakati wananchi wananufaika nae atanufaika kwa kuendelea na ajira yake ya mamilioni,tuache tofauti zetu za kichama linapokuja swala la maendeleo ya nchi tushikamane.
Hongera Mzee Wa Ndio mzeee
 
safi sana prof.jay spidi 200 ni sahihi naamini wapiga kura watakuelewa soon
 
Professor J ni mmoja Wa vijana Wa kisasa anaetumia akili yake ya kuzaliwa vizuri,ubunge ni ajira kama tunavyoamka asubuhi daily kwenda Posta,sasa J anajua ili kitumbua kiendelee kuwa ndani ya himaya yake jambo kuu ni kuwahudumia wananchi,wakati wananchi wananufaika nae atanufaika kwa kuendelea na ajira yake ya mamilioni,tuache tofauti zetu za kichama linapokuja swala la maendeleo ya nchi tushikamane.
Hongera Mzee Wa Ndio mzeee

....well noted
 
Back
Top Bottom