Joseph Haule (Profesa J) speed 200 ni utekelezaji tu

Joseph Haule (Profesa J) speed 200 ni utekelezaji tu

nilijua tu , hata nyimbo zake zimekaa kiukombozikombozi tu , nawaonea wivu sana wananchi wa mikumi , sisi kwetu mhmmmmm!!!!!
 
Ameanza kupasua barabara Mikumi maeneo ambayo yalikuwa hayafikiki kirahisi kutokana Jiografia ya maeneo hayo...

Lengo ni kuhakikisha wananchi wa Mikumi wanapata huduma bora ikiwamo barabara....

Hongera Kamanda....

Hongera Mikumi.....

Ulisema na unasimamia...


FB_IMG_1449624403393.jpg

FB_IMG_1449624447136%2B%25281%2529.jpg


FB_IMG_1449624433510.jpg
huku nkya akilialia mahakamani , mshindi anasonga mbele !
 
Hivi John Mnyika analo lakujifunza kwa huyu mwenzie?
Anacho fanya Prof ni kinyume na UKAWA maana wao wanacho waza ni kuandamana tuu...!

Huyu hatomaliza mwaka lazima ataitwa msaliti....
 
Last edited by a moderator:
Lini anafanya collabo na JAY Z? tunasubiri hiyo kitu kwa hamu Mwana!
 
Kwa tahadhari mheshimiwa kumbuka kuvaa viatu ambavyo vitaendana na shughuli unayosimamia
 
Kila la heri Haule,kuwa karibu na wananchi naamini umeona mifano kwa Sugu na Nasari
 
Pongezi kwako jay wa matulinga,u were destined to be a great man,Mungu akupe hekima na afya wana mikumi wafaidi kazi zako,
 
Big Up Big Daddy Prof. Geezy, Nigger Jay, Mwana Mslopaaganz, Heavy weight MC. Bravo sana
 
Natamani na mbunge wangu..Esther Matiko..nae afanye hayo anayofanya Jay....

mafisiem yamepania kulichukua hili jimbo mwaka 2020.. hivo anatakiwa kuwa makini sana na jimbo lake..
 
Back
Top Bottom