Kuharibu mazingira ndio poa?Hapo ni poa....
Kuharibu mazingira ndio poa?
Au kutengeneza barabara za mavumbi ndio poa?
Aisahau kupanda majani na miti hizo sehemu alizopitisha tingatinga ili kuzuia mmong'onyoko wa ardhi.
Kwel wewe ....unakichwa nazi kutengeneza barabara unaona ni ni kuharibu mazingira...!
Hongera prof. Hongereni wana mikumi
Kuharibu mazingira ndio poa?
Au kutengeneza barabara za mavumbi ndio poa?
Aisahau kupanda majani na miti hizo sehemu alizopitisha tingatinga ili kuzuia mmong'onyoko wa ardhi.
Mfano wa kuigwa! Lakini please wabunge chukueni muda huu kuwafunza wananchi kwa vitendo na hasa nalenga suala nzima la usalama- Prof amevaa kanda mbili kwenye ujenzi- walau angefunga matambara kama shida ni ukosefu wa buti.
Sijui kwa nn wabunge wengine wa ukawa hawaigi mfano huu JHaule alioiga kutoka kwa Deo Filikonjombe, siasa za mwaka huu ni kazi tu mambo ya kupiga mayoe bungeni yaliisha kwa jk
Hii kitu yote ndio wanaingiza kwa kontena, kusafirisha na kwenda kufukia mashimo na mahandaki kwao?....
.....Majipu ya kijani utayajuwa tu Buzwagi hiyo !!!
![]()
Bora hata nazi ilo dafu kabisa
Kweli wewe hujui barabara ni nini. Hiyo unaita ni barabara?Kwel wewe ....unakichwa nazi kutengeneza barabara unaona ni ni kuharibu mazingira...!
....
.....Amina
Kwel wewe ....unakichwa nazi kutengeneza barabara unaona ni ni kuharibu mazingira...!
.....
......hapo vipi
Hivi John Mnyika analo lakujifunza kwa huyu mwenzie?
Anacho fanya Prof ni kinyume na UKAWA maana wao wanacho waza ni kuandamana tuu...!
Huyu hatomaliza mwaka lazima ataitwa msaliti....
Sijui kwa nn wabunge wengine wa ukawa hawaigi mfano huu JHaule alioiga kutoka kwa Deo Filikonjombe, siasa za mwaka huu ni kazi tu mambo ya kupiga mayoe bungeni yaliisha kwa jk