Jordan University First Year 2016 tukutane hapa

Jordan University First Year 2016 tukutane hapa

Nyie ndio mmeona kejeli
Inaitwa inferiority complex hiyo, halafu skuwa nimeuliza nilitoa kile nlcho kuwa nakifikiria.
Kwa hiyo nilikosea vitu viwili
Jordan college -iko moro
Nchi ya Jordan- iko Ulaya
daaahh!! makosa yote hayo...maanake post yako yote ni kosa tu
 
Njooni tu Ila muwe wastaarabu mtaani maaana mwaweza geuka nyasi
 
Habari wana jf,ok hivi juco wanaweza toa 3rd tena? Msaada kwa anae jua
 
Dada yng amechaguliwa hapo
Ole wenu mu mgegede
Mm nmemaliza second university in tz found in moro twn

Ni bora tu ulienda huko kucheza na wanyama.Ungekua daktari au injinia humu jamvini tusingekohoa
 
Back
Top Bottom