Jordan University First Year 2016 tukutane hapa

Jordan University First Year 2016 tukutane hapa

Dada yng amechaguliwa hapo
Ole wenu mu mgegede
Mm nmemaliza second university in tz found in moro twn

anaitwa nan dadako ili nimuunganishe kw dada fulan hv wa sociology mwk wa pili.ataweza mpa ata nuru ya course kw hpa juco
 
kw wavulana njoo ukijua juco hkn hostel ya chuo.ni kupanga au kucheck hostel za watu binafc.
 
kama bado hujajiunga na group la whatsup fanya kuweka no hapa nikuunge fasta
 
teh, ulisema Jordan iko ulaya, ulitaka kumkejeli but umejikejeli mwenyewe.
Khaaaa!!!
Mi sku ijua na si ijui, so point yangu ndo ilikuwa hiyo, sja kataa kuwa nimekosea hata yeye anajua hilo.
Niki kakejeli ka college kama hako nafaidika nini!!?
 
juco moja hiyo, kasomeni vijana mimi ni mmoja wa wahitimu toka jordan tukutane kwenye graduation oct 29.
 
ni chuo safi sana, kinauongozi mzuri,mandhari nzuri, ni tawi la saut kipo mjini. Ni chuo kama umechaguliwa hapo hakika hautajutia kusoma hapo. Welcome Jordan University College in Morogoro.
na wewe ni wa hapo mkuu? mm nimehtim juco mwaka huu
 
ndo uache kukurupuka
Sikukurupuka nilikosea
Ujumbe ni kuwa niliijua nchi ya Jordani lakin nilidhani iko ulaya
So hayo mambo yapo.
Pia nikajua chuo cha Jordani kiko nchin Jordan
Shida nini apo!!?
 
Sikukurupuka nilikosea
Ujumbe ni kuwa niliijua nchi ya Jordani lakin nilidhani iko ulaya
So hayo mambo yapo.
Pia nikajua chuo cha Jordani kiko nchin Jordan
Shida nini apo!!?
kwanini hukuuliza kama nchi ya Yordani/ jordan iko ulaya au asia? badala yake umekimbilia kukejeli na kujikuta umejikejeli mwenyewe, kuwa makini mkuu
 
kwanini hukuuliza kama nchi ya Yordani/ jordan iko ulaya au asia? badala yake umekimbilia kukejeli na kujikuta umejikejeli mwenyewe, kuwa makini mkuu
Nyie ndio mmeona kejeli
Inaitwa inferiority complex hiyo, halafu skuwa nimeuliza nilitoa kile nlcho kuwa nakifikiria.
Kwa hiyo nilikosea vitu viwili
Jordan college -iko moro
Nchi ya Jordan- iko Ulaya
 
Back
Top Bottom