Joram kiango vs Willy Gamba

Joram kiango vs Willy Gamba

Pekejeng

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
827
Reaction score
2,229
Habari za Januari wakuu,

Kwa wapenzi wa riwaya za kiswahili nafikiri mtakuwa mmeshawa fahamu wahusika hapo juu mmoja anatumika na mwandishi Mtobwa B.R na Mwingine Musiba A.E.

Karibuni tuambiane yupi kati ya hao anakukosha sana hasa katika harakati zao za upelelezi
 
Aliyeandika watoto wa mama ntilie alitisha sana. Wanadai hao kina gamba et al walikuwa wana copy iriwaya za kizungu za kina chase na kuzileta kwa kiswahili japo siamini hili.
Willy Gamba sio author ni character, author ni Elvis Musiba aka mjita. Huyu jamaa Nyerere alipiga mkwara riwaya zake kuwa zinafundisha ujambazi
 
Aliyeandika watoto wa mama ntilie alitisha sana. Wanadai hao kina gamba et al walikuwa wana copy iriwaya za kizungu za kina chase na kuzileta kwa kiswahili japo siamini hili.
Hao wanaodai hivyo itapendeza wakitaja japo kitabu kimoja tu cha Musiba na kueleza alikopi kutoka kitabu kipi cha James Hadley Chase.
 
Aliyeandika watoto wa mama ntilie alitisha sana. Wanadai hao kina gamba et al walikuwa wana copy iriwaya za kizungu za kina chase na kuzileta kwa kiswahili japo siamini hili.
Nafikiri wanalinganisha maudhui ya kiupelelezi ndo mana wanasema hivyo ila kiuhalisia sioni kufanana kwa kazi zao labda waseme ni riwaya gani wamecopy kutokea huko tulinganishe
 
Back
Top Bottom