Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,918
- 7,055
Hivi jongoo hutumika kufanyia nin? Na wanafaida gan?kunasiku niliona MTU akisafirisha hayo makitu kwenye boksi bahati mbaya hakufika mbali alikamatwa na polisi huku akilala mika kuna MTU amemchomea akasikika mtua akisema hao jongoo wana faida sikuelewa wanafaida ganView attachment 499058
Nadhani wanaoogopa majongoo siyo wanawake peke yako... hata baadhi ya wanaume pia wanagopa majongoo...
- Majongoo hupendelea sana kujitokeza nyakati za mvua.
- Hawana sumu ya kusema, itamdhulu binadamu lakini wana tezi ambazo zinauwezo wa kutengeneza maji maji, ambayo husababisha allergy kwa watu wengi. Hayo maji maji yanauwezo wa kunguza ngozi yako au kusababisha muwasho mkali sana na kuharibu ngozi. Wengine wanasema usimguse jongoo atakujambia.
- Ukiachilia mbali maji maji wanayotoa pia wanangata, na maumivu yake ni makali kwa sababu yanaambatanishwa na sumu, lakini siyo sumu ya kukuua.
- Kuna baadhi ya majongoo, kwenye kujihami hurusha au humwaga maji maji yenye harufu kali, mbali na yote itakuachia vitu kama malengelenge kwenye ngozi yako.
- Wengi pia labda watakuwa wanaogopa ile miguu yake... majongoo wana miguu 40-400 mpaka 750
cc: mahondaw
Ila jongoo wanatisha jamani has a ukutane na Yale makubwa yanarangi nyeusi lazima mwili usisimke na sarakas zisizo na matarajio

