Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,310
- 25,089
Bora wao jongoo haonekani mara nyingi, wengine tunataman paka wapotee duniani maana tunaogopa kupita kiasi
Mwenzio paka ndio starehe yake...
Bora wao jongoo haonekani mara nyingi, wengine tunataman paka wapotee duniani maana tunaogopa kupita kiasi
Mbona yule dudu asiye na shingo hamumuogopi???Wanawake tunaogopa vidudu vingi vingi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wewe ni mendejongoo anafanana na dushe....kwa hiyo ule mstuko si wa kuona jongoo bali ni kuona dushe linatembea ardhini🙂🙂🙂🙂
Chululu kilaa barema ng'u daimitiaka?Kwa sababu kafanana na "chululu"
ha a hahahajongoo anafanana na dushe....kwa hiyo ule mstuko si wa kuona jongoo bali ni kuona dushe linatembea ardhini🙂🙂🙂🙂
dudu washa na jongoo wanawasha woteMie jongoo simuogopi, naogopa dudu washa tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Yaani umenikumbusha mbali....kuna mama mmoja anaogopa jongoo siwezi hata kuelezea........
Yeye hata ukitamka tu jongoo anapiga kelele mpaka majirani wanajaa
Had ww unaogopa panya na ujanja wote huo[emoji23]jongoo akikupandia unawashwa kweli me siwapendi ila joka na panya nikikutana nao naweza zimia
kuna siku namkimbia panya jikoni nikakimbilia kwenye kona na kuna meza si akapanda na meza then mwili wangu nilijikojolea kwa woga kitu cha sekunde moja haloo sina hamu na huyu mdudu... akiingia ndani naweza mpisha kwa kweliHad ww unaogopa panya na ujanja wote huo[emoji23]
mm jongoo sio sana
wale mende wakubwa[emoji134] [emoji134] yeuuuwii naeza nikapoteza ata fahamu
kasoro dudu jicho moja basiWanawake tunaogopa vidudu vingi vingi tu
Tehteh Wee miss chagga weeeweekasoro dudu jicho moja basi
nilitaka kuwaweka sawa tu wasijekuchnganya madesa
Jongoo ana sumu inayoitwa cyanide ni hatari kama ukiila(ingest)... Anatumia kemikali hio kujilinda na wanaomla (predators kama ndege na baadhi ya wanyama)View attachment 499058
Nadhani wanaoogopa majongoo siyo wanawake peke yako... hata baadhi ya wanaume pia wanagopa majongoo...
- Majongoo hupendelea sana kujitokeza nyakati za mvua.
- Hawana sumu ya kusema, itamdhulu binadamu lakini wana tezi ambazo zinauwezo wa kutengeneza maji maji, ambayo husababisha allergy kwa watu wengi. Hayo maji maji yanauwezo wa kunguza ngozi yako au kusababisha muwasho mkali sana na kuharibu ngozi. Wengine wanasema usimguse jongoo atakujambia.
- Ukiachilia mbali maji maji wanayotoa pia wanangata, na maumivu yake ni makali kwa sababu yanaambatanishwa na sumu, lakini siyo sumu ya kukuua.
- Kuna baadhi ya majongoo, kwenye kujihami hurusha au humwaga maji maji yenye harufu kali, mbali na yote itakuachia vitu kama malengelenge kwenye ngozi yako.
- Wengi pia labda watakuwa wanaogopa ile miguu yake... majongoo wana miguu 40-400 mpaka 750
cc: mahondaw