Martin Luther Jr
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 721
- 207
Aisee
Mie jongoo simuogopi, naogopa dudu washa tu
mamaaa na wanavojuaga kuwa na mbiohalafu awe ana peperuka uuuuwi
naomba namba za huyo ukimwekea jongoo anakubali kila kituYaani sijui kwanini akikugusa unaweza hata zimia,nina rafiki yangu ukimuekea jongoo mbele yake chochote utachomuambia anakubali...sijui kwann tunaogopa kiasi hiki
Hahaha, kuna binti mmoja enzi za utotoni alikuwa anamkamata jongoo kwa mikono alafu anawatishia wanawake wenzake, duh! Sijui alikuwa na ujasiri ganiYaani umenikumbusha mbali....kuna mama mmoja anaogopa jongoo siwezi hata kuelezea........
Yeye hata ukitamka tu jongoo anapiga kelele mpaka majirani wanajaa
Leo ukienda kitandani utamkuta kwenye shuka amejikunjaSimpendiiiiii..mtu akinitishia ilo dudu sisemezan nae maana huwa naweweseka had usiku. Yaan likijikunjaa mara litembee mwili wangu unasisimka woga. Naandika huku nimekunja midomo umemtajia ninnn
Mimi nyoka ndo kidogo nitamuhofia, pia akikutana namimi ajiandae kudanjaSijawahi kumuogopa jongoo kwakweli.
Ila kitu nyoka na ile mijusi wakati fulani unaezaikuta ndani (kwa baadhi ya nyumba zetu flan)
Doohntaenda lala kwa jirani
![]()
Sio kweli.Mie jongoo simuogopi, naogopa dudu washa tu