Jongoo ana nini mpaka wanawake mumuogope?

Jongoo ana nini mpaka wanawake mumuogope?

Yaan ule mwendo wake unashitua wanawake kama wanatekenywa vile ivi ulishawahi kuweka kidole mdomon kwa mtoto ambae hana meno lazima ukitoe jaribu hata kesho
 
A aaagggrrr sipend kuon huyo mdudu mim nikimuon nasisimkwa mwili wote sijui kwa nn
Mmenifundisha,
mwanamke wangu mgumu kusisimka ngoja, nitatafta jongoo akivua tu Nguo akiwa kitandani namrushia jongoo asisimke fasta!
 
Sijawahi kumuogopa jongoo kwakweli.
Ila kitu nyoka na ile mijusi wakati fulani unaezaikuta ndani (kwa baadhi ya nyumba zetu flan)
Doohntaenda lala kwa jirani
Juzi nilihama nyumba kisa nilikuta gamba la nyoka ndani....nyoka ni hatari jmn kuliko hata jongoo
 
Kumbe kweli. Nilifikiri mleta mada ni hisia zake!
hapana simaanishi hivyo, jongoo analeta hisia kama unapandiwa na chavichavi au wale wadudu wa kwenye Mwembe.
niliwahi tishiwa jongoo nikazimia kwa woga ,maana alonitishia alimbeba akawa anataka kunigusisha, yani unakua hutaki akuguse huyo mdudu kwahivo ukimwona tu unakua na hisia kama vile kakupandia mwilini hicho ndio kinafanya tuogope sana.
 
Umesahau mende na vinyonga,
Yaani kuna ambao wanaowagopa mende kuliko hata jehanam!
Duh, hapo kwenye kinyonga nnaeza nikakubali manake nilishawahi kumshuhudia msichana akiyaruka mayenu baada ya kutishiwa kinyonga.
 
Mimi naogopa buibui na uanaume wangu. nikitaka kuwatoa lazima mlango uwe wazi na ikinishika yale mautando yake lazima nikaoge.

nimejitahidi kuwa jasiri lakini wapi
 
Back
Top Bottom