Jongoo ni mdudu mdogo sana ambaye anaogopwa na jopo kubwa kabisa la wanawake,
Hii inafika mbali zaidi mpaka unakuta wanawake wanatoka nduki huku wakisasambua nguo zao, wengine hujikuta wanaruka Kung-Fu Panda bila kutegemea huku wakituachia TV ya bureee eti kisa wamekaona kajijongoo kanapita karibu yao!
Kitu kilichonifanya mpaka nishangae unakuta wengi ukiwauliza wanadai eti huwa wanamuogopa jongoo sana tena kuliko nyoka,
Umeona balaa hilo? Yani eti nyoka mwenye sumu kwao ni bwege tu, lakini akiona jongoo atapiga yowe utadhani U.S.A ameona mabomu ya Korea Kaskazini.!
Sasa wanawake inabidi mje mtuambie kipi kinachofanya mpaka mumuogope kiasi hiko?
Hao unaosema wewe anaitwa Jongoo Bahari, huwa wanapatikana baharini hasa maeneo ya mtwara na Zanzibar, Kiingereza anaitwa orthurians, kwa Tanzania bara ni Marufuku kuwavua hawa wanavuliwa kwa magendo na huwa wanasafirishwa kwenda China na Japan, wako tofauti na hawa wanaoogopwa na Wanawake
Mkuuu subiri nikafanye uhakiki wa hiki then nitarudJongoo ni mdudu mdogo sana ambaye anaogopwa na jopo kubwa kabisa la wanawake,
Hii inafika mbali zaidi mpaka unakuta wanawake wanatoka nduki huku wakisasambua nguo zao, wengine hujikuta wanaruka Kung-Fu Panda bila kutegemea huku wakituachia TV ya bureee eti kisa wamekaona kajijongoo kanapita karibu yao!
Kitu kilichonifanya mpaka nishangae unakuta wengi ukiwauliza wanadai eti huwa wanamuogopa jongoo sana tena kuliko nyoka,
Umeona balaa hilo? Yani eti nyoka mwenye sumu kwao ni bwege tu, lakini akiona jongoo atapiga yowe utadhani U.S.A ameona mabomu ya Korea Kaskazini.!
Sasa wanawake inabidi mje mtuambie kipi kinachofanya mpaka mumuogope kiasi hiko?
View attachment 499692unamaanisha kama huyu mkuu maana nilikuwa sijui kama kuna jongoo bahari
Mbona wanavutia tu😀😀😀😀bora nimwone nyoka sio jongoo...
jongoo ana msisimko fulani hivi mmbaya![]()
Duh! Watu wa bara wengi tulikuwa hatui yajui hayoHapana sio kama huyo, ni Hawa hapa chini ndio jongoo Bahari uliokuwa unasema, hawa ndio wanaouzwa nje na hawaruhusiwi kuvuliwa kwa Tanzania bara, ila kwa Zanzibar wanawavua
View attachment 499703 View attachment 499704
Mmmm mbona wanatisha hivyo hats kwa dawa simgusi kwa hiyo ndio kitoweo au???Hapana sio kama huyo, ni Hawa hapa chini ndio jongoo Bahari uliokuwa unasema, hawa ndio wanaouzwa nje na hawaruhusiwi kuvuliwa kwa Tanzania bara, ila kwa Zanzibar wanawavua
View attachment 499703 View attachment 499704
Wanatukata stimu kwa kuogopa vitu vya ajabu ajabu,mtoto mdogo wa kiume wa umri wa miaka 8 anaweza kuwa shujaa zaidi ya mwanamke wa miaka 40 anayeogopa jongoo.watoto wenyewe hawaogopi jongoo lakini utashangaa limama lizima linaogopa huwa wanajifanyisha tu
Thubutuuuu yake.Kwahiyo ukimkuta panya anazitafuna pesa zako na kuzikata vipandevipande utamuachia?
Una funga mlango kwanza. Ha ha ha..Aisee ni kweli. Mke wangu anaogopa jongoo kupita maelezo. Nasubiri tugombane sana nimletee home. Tena chumbani.
Jongoo ni mdudu mdogo sana ambaye anaogopwa na jopo kubwa kabisa la wanawake,
Hii inafika mbali zaidi mpaka unakuta wanawake wanatoka nduki huku wakisasambua nguo zao, wengine hujikuta wanaruka Kung-Fu Panda bila kutegemea huku wakituachia TV ya bureee eti kisa wamekaona kajijongoo kanapita karibu yao!
Kitu kilichonifanya mpaka nishangae unakuta wengi ukiwauliza wanadai eti huwa wanamuogopa jongoo sana tena kuliko nyoka,
Umeona balaa hilo? Yani eti nyoka mwenye sumu kwao ni bwege tu, lakini akiona jongoo atapiga yowe utadhani U.S.A ameona mabomu ya Korea Kaskazini.!
Sasa wanawake inabidi mje mtuambie kipi kinachofanya mpaka mumuogope kiasi hiko?
oooooooooooooooooosh haswaaayale ya kwenye muembe sio?
mwenye tabia hiyo tuliambiwaga ni Kenge, sijui kweli
Hukuvua nguo wewe kweli?