Jokes ya mngoni mwaka 1985!

Jokes ya mngoni mwaka 1985!

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,227
Reaction score
1,362
mngoni alikwenda kufanya interview ya kuchunga mbuzi za mission. basi katika mahojiano aliulizwa kwa kiingereza swali la mwisho. Do you have kids? yeye alijibu Yes Sir! Padri alimuuliza swali la nyongeza, how many? sasa mngoni alizania, haula mene. alianza kuchagua mbuzi na kusema Usengwili bambuu. haula mene kwa kingozi maan yake ni chagua mbuzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Inaelekea kausingizi kamekupitia saa mbaya hizi hapa si mahala pake.

Usiku mwema
 
mngoni alikwenda kufanya interview ya kuchunga mbuzi za mission. basi katika mahojiano aliulizwa kwa kiingereza swali la mwisho. Do you have kids? yeye alijibu Yes Sir! Padri alimuuliza swali la nyongeza, how many? sasa mngoni alizania, haula mene. alianza kuchagua mbuzi na kusema Usengwili bambuu. haula mene kwa kingozi maan yake ni chagua mbuzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Miaka ya nyuma niliwahi kupanfa ya mzee mmoja mngoni pale mtoni kwa Azizi Ally .Mzee sebuleni alikuwa na bango limeandikwa hivi quote ( Angalia akiliza watu ) end quote .

Sasa nawe mh sijui tuangalie akili zako ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom