NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,944
- 18,473
Samiah atazeesha wengi sana!!
Ili uwe chawa wake lazima zikutoke akili kwanza maana!!
Hivi unamwambiaje Mzee was kisukuma achague nkiima Tena was visiwani akakuelewa!!?
Labda urukwe akili kwanza!!
Nakutana na kina Mzee mihambo,mwanakini,malekela ,malaba hawelewi somo kwakweli
Lazima azeeke TU hamna namna!!