Joisi bana

Joisi bana

Joisi ana akili sana. Amejibu kiuhalisia na sio kama waliokaririshwa mashuleni.

Mfano wangeulizwa watoto wengi ambao hawakuwahi kufundishwa hio misemo wangejibu nini?

Btw aliojibu hapo sio mtoto otherwise ana IQ kubwa.
 
mshana jr; Leo umeianzisha kwa kicheko siku yangu. Dah! Yuko skuli gani jamani? Anafaa kupelekwa South kwenda kukifundisha kiswahili kule.
 
kwa mujibu wa joisi ina maana mtu mwenye kipara hana akili? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji779] [emoji779] [emoji779] katoto kachochezi haka.... Kwa vyovyote katakuwa UKAWA haka
Teh teh teh.
 
Back
Top Bottom