Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 373,307
- 864,892
- Thread starter
- #41
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]View attachment 507701
Na huyu mtoto wa jirani na kwao Joyce, pia ni tatizo....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]View attachment 507701
Na huyu mtoto wa jirani na kwao Joyce, pia ni tatizo....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mitoto ukiilea na misoji na majuice ndio matokeo yake kunona, Joisi jiniazi.No 2 mwalimu alifaa umuonee tu huruma
Amuwekee tik
Maana kuna kaukweli 60%
kwa mujibu wa joisi ina maana mtu mwenye kipara hana akili? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji779] [emoji779] [emoji779] katoto kachochezi haka.... Kwa vyovyote katakuwa UKAWA hakaAkili ni nywele kila mtu asinyoe.
Kama anamuadhimisha Bob vile!!!!
hachezi cha baba mjinijogoo washamba hadinyi mjini??ndio nini🙁🙁🙁🙁🙁
kumuona mshenzi huyu jois ni kumbaka kimawazo kwani nae anamtizamo na mawazo piamshenzi kabisa huyu mtoto😡😡😡😡😱😱😱
Hahaha mkuu wewe unatisha ulijuaje hiii au munakaa jilani na baba jios?ha ha ha ha ha.... huyo ni joisi mshana...
Hahaha Vp tumpendekeze akaongoze mkoa gani?Hongera sana Joisi!!!!! umejua kusoma na kuandika.