Joisi bana

Joisi bana

Mkuu Mshana sioni mantiki ya kumkosesha Namba 2, 5 na 7. Huo ndiyo ukweli. Halafu kwa Joisi kuna kitu utanotice nacho ni "uhalisia wake wa kufikiri". Anatumia "brain" wala hatazamii !
Joisi kaandika uhalisia mwalimu anataka mazoea
 
Joisi ni future Bongo fleva artist na mbeba mabox ya watu wa Clouds kupeleka Bondeni.
 
huko wanafundisha uzinzi huko?
maana dogo naona ana wito huo.
Jogoo wa shamba hadinyi mjini
Cha mlevi huliwa na malaya
Mama wa kambo hulala na daddy
...
.
.
mshana jr Joyce wowowo umempata wapi?
aa185cc100e77abfb067bb6fc70052fb.jpg
 
huko wanafundisha uzinzi huko?
maana dogo naona ana wito huo.
Jogoo wa shamba hadinyi mjini
Cha mlevi huliwa na malaya
Mama wa kambo hulala na daddy
...
.
.
mshana jr Joyce wowowo umempata wapi?
Doooo we Jamaaa kuna ofisi moja kuna jois wawili .mmoja akaitwa joyce wowowo cjui na wewe upo hapo mkuu?
 
Joisi joisi
Cha mlevi huliwa na malaya
mama wa kambo= hulala na dady
Mtoto unlieavyo ndio ananona
Ukitafakari utagundua Joisi anajieleza maisha anayolelewa na changamoto anazopitia kutoka kwa waleza/wazazi wake...
Namuombea Mungu amjalie wepesi........
Lakini Joisi ha ha ha
akili ya Joisi imeshakua. kupitia majibu yake anatueleza ashki na 'ujuzi' wake juu ya mtindo wa maisha. changamoto za mwalimu zinazidi kupanuka kilauchao. fikiria kubadili mtazamo/ 'mindset' wa/ya huyu 'kicheche'. wazazi tujitafakari na wanafunzi mizigo kama Joisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom