Joisi bana

Joisi bana

Paka akiondoka - atarudi baadaye
Mwenda tezi na omo - hajajua kuna aerial
Mpanda ngazi -Ni mfanya kazi wa Kenya power.
Haba na haba - ni haba mbili.
Mtaka cha mvunguni - avute kitanda.
Ukiona viaelea -zimekufa
Maji yakimwagika -chota mengine
 
hahaha daah joisi simtaki kabisa....jogoo la shamba...,popote alipo achukue kalmat nitamlipia
 
No 2 mwalimu alifaa umuonee tu huruma
Amuwekee tik

Maana kuna kaukweli 60%
 
Paka akiondoka - atarudi baadaye
Mwenda tezi na omo - hajajua kuna aerial
Mpanda ngazi -Ni mfanya kazi wa Kenya power.
Haba na haba - ni haba mbili.
Mtaka cha mvunguni - avute kitanda.
Ukiona viaelea -zimekufa
Maji yakimwagika -chota mengine
 
huyu Joisi apewe medali ya dhahabu🙂🙂🙂🙂
 
Yaani huyu sasa ndio anayefanya application ya knowledge na sio kukariri. ha ha ha 😀😀😀🙂🙂🙂 --- Anasoma swali, analichekecha, kisha anakuja na logical conclusion.
 
tapatalk_1494336855155.jpeg

Na huyu mtoto wa jirani na kwao Joyce, pia ni tatizo....
 
Nadhani alikusudia kuandika haendagi mjini
 
Mwalimu kamkosesha banaaaa ... angalia namba 5
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom