
huyu jois itakuwa mkubwa nahis waliotumbuliwa vyet...mtoto hawez jua hayo
Na Kiuhalisia ukiachanan na methali yuko sahihi kabisaJoisi joisi
Cha mlevi huliwa na malaya
mama wa kambo= hulala na dady
Mtoto unlieavyo ndio ananona
Ukitafakari utagundua Joisi anajieleza maisha anayolelewa na changamoto anazopitia kutoka kwa waleza/wazazi wake...
Namuombea Mungu amjalie wepesi........
Lakini Joisi ha ha ha