Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

naomba jaman kama kunamwenye join instraction ya mwenge sec naomba jaman kevprissl@gmail.com
 
mkuu naomba pls join instraction ya mwenge sec singida email kevprissl@gmail.com
 
Habari waungwana! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kwa yeyote mwenye JOINING INSTRUCTION YA MAGU SECONDARY kijana wangu amepangiwa huko. Natanguliza shukrani waungwana.
 
daah mazee mim mwenyew naitafuta sana join ya mwenge atakae pata plz nichek 0767416975
g26number@gmail
 
Hivi kuna waliofanikiwa kupata joining instruction form kupitia Uzi huu, kwani Mimi ni miongoni niliulizia ya Songe Sekondari Musoma bila majibu.
Waalimu wamefundishwa TEHAMA lakini wanashindwa kuapply kusaidia wazazi kwa kuweka link au vinginevyo. Big up kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyampulukano -Sengerema Mwanza.
 
Uzi ni mzuri na ni wa kitaifa zaidi kuliko uchama.Bila shaka wengi wameishapata joining instructions za shule walizochaguliwa.Hata hivyo naambatanisha joining instructions za Arusha girls high school.Shule itafunguliwa tarehe 27/07/2015.View attachment joininginstjuly2015AGHS(1).pdf
 
Back
Top Bottom