Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

Kula like mkuu,hongera sana...Humu kuna walimu wengi tu,tena wengine wakuu,sijui wanafikiria nini kuziweka hizo joining humu

Kiukweli njia ya posta ni ndefu na yawezekana hadi unaondoka inakuwa bado haijafika

Wenye wanazo za shule nyingine waziweke humu

NB:Ninahisi wakuu wanaogopa watu wataanza kuhoji vile vipesa vya ajabu ajabu wanavyoviwekaga,mara jembe,mfagio etc
Naomba nisaidiwe Joining ya form five ya mwendakulima high school anitumie hapa(ntakumbugwa@yahoo.com)
 
Kama kuna mtu anaweza kunipatia joinstruction ya Biharamulo ya kagera jaman please
 
Jaman kw ule alyepata join instruction ya nyampurukano.naomb antumie whatsap.no zngu hzi hpa..0654666987
 
Back
Top Bottom