said luanda
New Member
- Jul 3, 2015
- 3
- 2
Msaada wana JF!!! Nahitaji fomu ya form ya lufilyo secondary school
Ifunda girls joining instructions nipm nikutumie whatsapp
Habari wana jukwaa..
Mwenye joining instruction za umbwe naomba aziattch..
Asante.
Mwenye Tunduru joining instructions form please nitumie isaqtanzany@gmail.com
kaka naomba namba yako mimi napatikana watsap 0754879910 join instruction ya ifunda
kaka naomba namba yako mimi napatikana watsap 0754879910 join instruction ya ifunda
Kula like mkuu,hongera sana...Humu kuna walimu wengi tu,tena wengine wakuu,sijui wanafikiria nini kuziweka hizo joining humu
Kiukweli njia ya posta ni ndefu na yawezekana hadi unaondoka inakuwa bado haijafika
Wenye wanazo za shule nyingine waziweke humu
NB:Ninahisi wakuu wanaogopa watu wataanza kuhoji vile vipesa vya ajabu ajabu wanavyoviwekaga,mara jembe,mfagio etc