Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

Joining Instruction ya Mwalimu Nyerere (Msalala) ama namba ya Mkuu wa Shule
 
jaman naomba mnisaidie mm ni mkazi wa dar niliyehitimu kidato cha nne na nimechaguliwa mambwe school so naomba mniambie shule ipo wapi ,ipo vipi na chochote mnachokijua kuusu mambwe high skul

oi nicheck kwenye 0777500181
 
sio sana ki vile, juhudi binafsi inatakiwa ili kufanya vizuri kwenye masomo
 
wakuu msaada kwa anayejua shule ya nangwanda girls sec iliyopo newala huko mtwara nahitaji website yao ili nipate joining instruction au kama kuna aliye nayo ani PM au anicheki namba hii 0712222184 au kwenye email g_mhando@yahoo.com
 
Anayehitaji joining instruction ya tabora girls ni PM
 
Naombeni msaada wa Joining instruction ya kidato cha Tano mwaka huu, ya shule ya Wasichana Loleza Mbeya.

Thanks.

Hongera kwa kwenda hapo. Mtoto ajiandae kwenda na sickle. Ream moja. Ndoo ya bati moja. Mengine nimesahau nimesoma 5yrs bt nahis hizo zitakufaa kuanzia
 
Mm naomba mwenye no ya mwl au join instruction ya rutabo high school
 
Hongera kwa kwenda hapo. Mtoto ajiandae kwenda na sickle. Ream moja. Ndoo ya bati moja. Mengine nimesahau nimesoma 5yrs bt nahis hizo zitakufaa kuanzia

Ahahahahaa, Asante.bt ni mdogo wangu ndo anaenda sio mimi.
Ila hongera zimemfikia.
Vipi after 5yrs upo wapi sasa??
 
Back
Top Bottom