Join Date : 30th December 2009

Join Date : 30th December 2009

FF nilimpa TWIN wako AshaDii zawadi yako ya Krismasi alikufikisha au iliishia njiani?

Kama umempa Ashadii ujuwe imefika wala huna haja ya ku "confirm". Ahsante kwa zawadi, nawe pokea salaam zangu za kukuombea kila jema katika Mwaka mpya. Mwenyeezi Mungu akujaalie kila kheri kwa kila jema ulifanyalo, akuepushe na mabaya, akuepushe na mahasid, akupe moyo wa utulivu na amani na akupe kila linalokupa furaha. Mwenyeezi Mungu akuondoshe kila lisilo na kheri nawe. Amin.
 
Hivi wewe ni nini haswa kinakusibu? kila kitu kwako lazima ukosoe. Nna uhakika umelelewa na bibi wewe.

Asante FF, 😛oa huyu jamaa nikama hata kioo anachotumia ni 'concave au convex' huwa haoni sawasawa yeye ni negative tu
 
Kama umempa Ashadii ujuwe imefika wala huna haja ya ku "confirm". Ahsante kwa zawadi, nawe pokea salaam zangu za kukuombea kila jema katika Mwaka mpya. Mwenyeezi Mungu akujaalie kila kheri kwa kila jema ulifanyalo, akuepushe na mabaya, akuepushe na mahasid, akupe moyo wa utulivu na amani na akupe kila linalokupa furaha. Mwenyeezi Mungu akuondoshe kila lisilo na kheri nawe. Amin.
قد نشكر كثيرا فايزة ماكر الله يبارك وكان لديك المباركة 2012
 
Back
Top Bottom