gollocko
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 2,945
- 2,283
- Thread starter
- #141
Tatizo mnadhani John ni level yenu. Wekeni heshima wacheni ujinga. Nyie mlikuwa wapi kugombea uraisi kama mna Akili sana??
Da vinci jr. Hebu uwe unajiuliza kwanza kabla ya kucomment. Hivi inamaana ukiwa raisi ndio unaakili kuliko woote unaowatawala? Hivi unataka kusema yule Mkwere katuzidi akili kweli?