monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,780
Lazima awe mjanja kama sungura la sivyo, zitabaki hadithi zile zile za wasukuma wafikapo kariakoo kwa mara ya kwanza.
John sio mwenyekiti..unamuonea tuuu...
Lazima awe mjanja kama sungura la sivyo, zitabaki hadithi zile zile za wasukuma wafikapo kariakoo kwa mara ya kwanza.
Unamshtua wa nini mkuu...wacha wamalizane wenyewe,mfumo wa wizi hauwezi kuondoka hata waongezwe ma-John watatu wenye mapenzi mema na hii nchi...ccm ni ile ile jana na leo na kesho kutwa mtondogoo wiki mwezi miaka...no mafanikio na wizi utakuwa palepale.
Haya maswala ya urasimu ndiyo yanafanya watu tuichukie ccm. ndiyo maana sina imani nahuyo john kwakuwa najua taasisi yake ni kubwa kila analofanya lazima ashauriwe.
ni wazi kabisa kuwa kuna hujuma nyuma ya huyo john kwa kuwa amezungukwa na watoto wa mjini wanaojali pesa kuliko utu na mbaya zaidi wanadhulumu hatma ya maskini.
hapa ndipo ninapokumbuka ule usemi "kanzu mpya shekh yuleyule" haya yanayotokea sasa yana athari kubwa kwa mustakabali wa maisha yetu ya baadae. mungu tusaidie shetani wa tamaa atoke ndani ya mioyo yetu.
Yani ajabu mtu anajiuzulu ugombea mara anateuliwa kwingine mara anagombea tena kwingine fastafasta. Kweli joni kavurugwa.
Ukienda lesi tena unapigwa kivingine hujashtuka tu?
Mkuu John ngoja nikuache, usiposhtuka sasa, solemba pale ubungo mataa inakuhusu !