John, stuka au utaachwa solemba pale Ubungo mataa!

John, stuka au utaachwa solemba pale Ubungo mataa!

Hiyo ndio ccm...Ita tawala nchi hii milele...sisi yetu macho...Tunamuabudu MUNGU...Hatuna haja tawala hizi za DUNIA zisizo na haki...Poleni ndg zangu watanzania wenzangu....hamna jipya hapa tz...kateni tamaa...Mfateni Mungu ktk maisha yetu haya mafupi...CCM Waachieni dunia yao..lkn hukumu mbele ya MUNGU KESHO...
 
Mungu yupi unaemwabudu? Kama ni huyu anayeimbwa kila siku kwenye wimbo wa taifa na kwenye viapo imekula kwako, ila kama ni mungu wa kweli hongera!
 
NAONA WEHU WA CHADOMO wanazidi kuweweseka kama KAWA!!! tumewazoea siasa hawaziwezi...na wazuri kwa kejeri za kwenye mitandao...ni MALOFA kwa sababu wanapenda hela za kirahisi...ni MANYUMBU kwa sababu wana CHUKI BINAFSI....Tunamshukuru MUNGU kwa kushirikiana na ALLAH..kuhakikisha MISUKULE hii haingii madarakani....

Mkuu mbona Povu jingi
 
PM Zenawi wa Ethiopia alisoma Medicine ila hakumaliza akaingia siasa.

Mafanikio yote tunayoyaona leo, Baba mzazi ni Zenawi......

Mie ni Sikonge na usinichanganye na mtu mwingine.,,,,,,, Noyaga.

Okey Sikonge, Zenawi naweza kusema amefanikiwa ila medicine yake ina walakini!
 
Hahahahaa. Umenivunja mbavu neno Walakini. Mhhhhh, kazi ipo.

Hivi wewe na Tundu Lissu mkifungiwa pamoja, nani atakuwa mshindi? Heheheee, chumba kitawaka moto.

Okey Sikonge, Zenawi naweza kusema amefanikiwa ila medicine yake ina walakini!
 
Watoto wa mjini wanasema ukizubaa,utaingizwa kingi.

Napenda kukupa tahadhali ewe mkuu John, unatakiwa ushtuke mapema kwani mambo yanavyokwenda utalala doro!

Mkuu hujiulizi, inakuwaje watu wateuliwe kushika nyazifa kubwa siku tatu kabla ya kukabidhiwa rungu? Tena yule wa mwisho aliteuliwa kuwa katibu tawala pale Lindi siku moja tu kabla hujaapishwa, mwingine ukapewa umwapishe kuwa mshauri wako wa mikataba yote utakayoingia, ikiwa ni masaa 18 tu toka upewe rungu, duh! Kwani hujui kule Kusini kuna nini kinatakiwa?

Haya sasa, leo unatenguwa uteuzi halafu unafanya uteuzi kwa mtu huyo huyo kuwa mbunge, siku hiyo hiyo mtu huyo anajitoa kutaka cheo kile na siku hiyo hiyo anataka kingine hivi ni kweli haya maamuzi ya kiswahili umeyatoa wewe jembe letu John au umebambikiwa?

Haya juzi uneenda kuikagua ile mashine pale hosipitalini, ikatengenezwa, siku tatu tu imeharibika. Tena, imeharibika moyo wake. Kwa kukufafanulia tu ni kuwa, ile mashine imeharibika kifaa kiitwacho (Redio frequence amplifier) ambacho ndio moyo wake, bila hicho hakuna hiyo mashine!! Kwa mujibu wa mtandao wa hiyo kampuni iliyopewa zabuni ya ya ukarabati kifaa hicho kinauzwa usd 97,000! Mil. 200 za madafu, upo mkuu?

Ukienda lesi tena unapigwa kivingine hujashtuka tu?

Mkuu John ngoja nikuache, usiposhtuka sasa, solemba pale Ubungo mataa inakuhusu !

Acha uzushi wewe. Hivi huwazi kwamba pengine mashine ilishachoka na inahitajika mpya? Hivi kwani wewe unadhani mashine hiyo ni ya miaka mingapi umri wake na imehudumia mzigo kiasi gani hadi sasa? Fikiri
 
Hapa ulitakiwa wewe mjuaji ndio utuambie hiyo mashine inamda gani, chakushangaza umekuja na assumptions!
 
Mmmmmh,safari ni ndefu na ninaona giza totoro mbele ya John.Giza ambalo linatuhusu kwa kuwa tunaishi katika kijiji kimoja ingawa si nyumba moja na wala siyo mtaa mmoja.
Tumefika tulipofikishwa lakini hatujafika tulipotaka.
 
Hahahahaa. Umenivunja mbavu neno Walakini. Mhhhhh, kazi ipo.

Hivi wewe na Tundu Lissu mkifungiwa pamoja, nani atakuwa mshindi? Heheheee, chumba kitawaka moto.

Mkuu Sikonge heshima kwako! Lisu ile namba nyingine, ila shukran, kabla sikuwahi kufikiria Zenawi ni mwanasayansi.
 
Our president as per constitution is both a leader and manager because he is an executive president. He can even have several ministries under him.

Theoretically one can proclaim to be a leader!

But does that person possess leadership traits? And remember these are either inborn or learnt!

Is not a matter of saying that 'it is stated in the constitution'.

Even Vasco Dagama's terms (10 years) were stated in the same constitution!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
This thread was started on Nov 16th. Do still doubt Dr Magufuli's performance both as a leader and a manager?
 
This thread was started on Nov 16th. Do still doubt Dr Magufuli's performance both as a leader and a manager?

A doubt has gone an advanced stage of evolution...................... now a confusion........... I never expected!

........ ni ile ile ooooh ni ile ileeee, wataisoma....

Ofisi ya makamu wa Rais, muungano na mazingira:
Waziri ni January Yusuf Makamba, naibu Luhaga Mpina

Nishati na madini: Waziri ni Professa Sospeter M. Muhongo, Naibu waziri ni Medalled Karemaligo

Katiba na sheria: Waziri Harrison George Mwakyembe

Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto: Waziri Ummy Ally Mwalimu, Naibu ni Hamisi Andrea Kigwangalla

Habari, utamaduni, wasanii na michezo: Waziri Nape Nnauye, naibu Anastazia Wambura
 
Back
Top Bottom