John, stuka au utaachwa solemba pale Ubungo mataa!

John, stuka au utaachwa solemba pale Ubungo mataa!

Where is my John, I am looking for my John....oooohh!! Ooooh John they are play with you. KUWA MKALI SWAIBA WANGU...Likiharibika jambo wa kwanza kulaumiwa ni wewe na sio hao waliokushika mkono. Simama kiume ka ulivyokuwa unazipiga push ups jukwaani.

All the Hon. Dr. John Magufuli
 
Masikini John kawekwa kama antenna nje ndani watu wanabadilisha channels kwa raha zao!

Kamanda Nifah upo! tatizo watu wanapoona UKAWA wanasema inabidi mfumo uondoke huwa wanafikiri ni kitu cha mchezo.Magufuli hata angekuwa jasiri kiasi gani kuna vitu hawezi fanya asilani. Na hivi mambo ya kidiplomasia hajui hata chembe itakuwa kila siku anapiga simu msoga kuulizia afanyeje na hapo atajambishwa mpaka akili imkae sawa.Halafu yeye kwa akili yake ya kukariri anafikiri kila kitu ni kutumia mabavu na hii itamkost sanaaaaaaaaa! hapa mbona bado atapewa mpaka totoz kwa ushauri toka msoga. Ilani ya uchaguzi hakushiriki hata kuitengeneza hakuwa na vision wala mission uraisi umemkutiaa chooni lazima akili imkae sawa. Mungu amsaidie kwa kweli
 
Na kwanza sio mswahili na watoto ihungo wanakula mlo mmoja na wanakaa chini inabidi awe makini sana vinginevyo cijui mi namshauri akamfukuze mkurugenzi tena
 
Naona mwezi wa nyumbu kurudi point A toka B umefika. Wanapeana faraja. Nyumbu wanaomba sana mamba asikatishe mtoni manake wao akianza kukimbia mmoja wote wanafuata...
..nyumbu bwana, Johny ana wiki tu. Mnaomuombea mabaya mtashidwa na kuaibika nyie.

Dah kuna watu wana roho mbaya ambavyo sikufikiri yaani maombi yao Mr President afeli ili roho zao zitakate why? Tanzania ni yetu sote hivyo tuiombee nchi yetu mema nawanao omba mabaya juu ya rais ili afeli hayo maombi yawarudie wao.
 
huyu mtoa mada ni bavicha na asilimia 90 ya wachangiaji ni ukawa, naye ili aonekane kafanya la maana kaamu kuja na " john" haha bure kabisa.
 
Dah kuna watu wana roho mbaya ambavyo sikufikiri yaani maombi yao Mr President afeli ili roho zao zitakate why? Tanzania ni yetu sote hivyo tuiombee nchi yetu mema nawanao omba mabaya juu ya rais ili afeli hayo maombi yawarudie wao.

mbona nyie mnatuombea chadema ife kila saa mnaanza thread za kutuombea mabaya kwa nn sio watanzania??? Na mleta mada kamwambia ashtuke na sio kumuombea mabaya...plizzzzz na nyie mtuache basiiiii
 
Watoto wa mjini wanasema ukizubaa,utaingizwa kingi.

Napenda kukupa tahadhali ewe mkuu John, unatakiwa ushtuke mapema kwani mambo yanavyokwenda utalala doro!

Mkuu hujiulizi, inakuwaje watu wateuliwe kushika nyazifa kubwa siku tatu kabla ya kukabidhiwa rungu? Tena yule wa mwisho aliteuliwa kuwa katibu tawala pale lindi siku moja tu kabla hujaapishwa, mwingine ukapewa umwapishe kuwa mshauri wako wa mikataba yote utakayoingia, ikiwa ni masaa 18 tu toka upewe rungu, duh! Kwani hujui kule kusini kuna nini kinatakiwa?

Haya sasa, leo unatenguwa uteuzi halafu unafanya uteuzi kwa mtu huyohuyo kuwa mbunge, siku hiyohiyo mtu huyo anajitoa kutaka cheo kile na siku hiyohiyo anataka kingine hivi ni kweli haya maamuzi ya kiswahili umeyatoa wewe jembe letu John au umebambikiwa?

Haya juzi uneenda kuikagua ile mashine pale hosipitalini, ikatengenezwa, siku tatu tu imeharibika. Tena, imeharibika moyo wake. Kwakukufafanulia tu ni kuwa, ile mashine imeharibika kifaa kiitwacho (Redio frequence amplifier) ambacho ndio moyo wake, bila hicho hakuna hiyo mashine!! Kwa mujibu wa mtandao wa hiyo kampuni iliyopewa zabuni ya ya ukarabati kifaa hicho kinauzwa usd 97,000! Mil. 200 za madafu, upo mkuu?

Ukienda lesi tena unapigwa kivingine hujashtuka tu?
Mkuu John ngoja nikuache, usiposhtuka sasa, solemba pale ubungo mataa inakuhusu !

...exactly...ndio maana mi nasema JPM ana kazi kweli kweli...wao wanasema 'hapa kazi tu'...ni kweli kazi anayo jamaa....Ukiondoa subbotage za hapa na pale huko mahofisini (kutoka kwa wafuasi wa ukawa walioumizwa na matokeo)....jamaa ana kazi kubwa yaku deal na wapambe wa utawala unaoondoka....na matokeo yake ni haya maamuzi ya kukurupuka tulioanza kuona....

...katika maamuzi ya JPM ya kukurupuka umesahau lile la kufuta kitengo cha lishe (nutrition unit)pale ikulu...ambacho wamemwingiza mkenge kuwa kilikua kinashughulikia lishe ya rais ....nae akaingia mkenge na kukifuta.....bila kujua ukweli kuwa ni nutrition unit iliyokuwa inaratibu program ya utapiamlo ikishirikiana na ofisi ya waziri mkuu.....

...John ana kazi kweli kweli....
 
Na bado hajashtuka!
 
Daaah yohana ameingizwa chaka pole sana kama nyuki wa mashineni
 
Jaman c mtulie usimshtue aliye lala Mwache sie tupige hela mbona mnawivu ivi
 
Watoto wa mjini wanasema ukizubaa,utaingizwa kingi.

Napenda kukupa tahadhali ewe mkuu John, unatakiwa ushtuke mapema kwani mambo yanavyokwenda utalala doro!

Mkuu hujiulizi, inakuwaje watu wateuliwe kushika nyazifa kubwa siku tatu kabla ya kukabidhiwa rungu? Tena yule wa mwisho aliteuliwa kuwa katibu tawala pale lindi siku moja tu kabla hujaapishwa, mwingine ukapewa umwapishe kuwa mshauri wako wa mikataba yote utakayoingia, ikiwa ni masaa 18 tu toka upewe rungu, duh! Kwani hujui kule kusini kuna nini kinatakiwa?

Haya sasa, leo unatenguwa uteuzi halafu unafanya uteuzi kwa mtu huyohuyo kuwa mbunge, siku hiyohiyo mtu huyo anajitoa kutaka cheo kile na siku hiyohiyo anataka kingine hivi ni kweli haya maamuzi ya kiswahili umeyatoa wewe jembe letu John au umebambikiwa?

Haya juzi uneenda kuikagua ile mashine pale hosipitalini, ikatengenezwa, siku tatu tu imeharibika. Tena, imeharibika moyo wake. Kwakukufafanulia tu ni kuwa, ile mashine imeharibika kifaa kiitwacho (Redio frequence amplifier) ambacho ndio moyo wake, bila hicho hakuna hiyo mashine!! Kwa mujibu wa mtandao wa hiyo kampuni iliyopewa zabuni ya ya ukarabati kifaa hicho kinauzwa usd 97,000! Mil. 200 za madafu, upo mkuu?

Ukienda lesi tena unapigwa kivingine hujashtuka tu?
Mkuu John ngoja nikuache, usiposhtuka sasa, solemba pale ubungo mataa inakuhusu !

Hahaha,umesomeka mkuu
 
Mara hii tu umesahau kwamba ccm kuwa ktk madaraka kipindi hiki wanachukulia km ni golden chance ya wao kurekebisha makosa yao na hivyo kuendelea kuaminiwa, na hio si kazi ya magufuli peke yake, ni kaz ya cabinet nzima ya ccm. Sasa mnaposema kuwa eti atendeshwa kwa remote mmetafakari hayo? Km kushauriwa mambo ya msingi napo nikushikiwa remote bas tuite huo ni msamiati mpya!

Hata hivyo km ccm imejisahau kias hicho na haikuridhika kuona magari ya kuzuia ghasia iliyoyaagiza hayakufanya kazi bas ijaribu kufanya kile kinachosemwa kuhujumiana na kumtenga raisi, ingawa naamini raisi Magufuli si mtu wa kujaribu kumhujumu na kumtenga, atajua tu! Kumbuka John si typical CCM, ila kwake CCM ni daraja tu kuelekea kufanya siasa za kikemia, kwenye kemia hakuna probability wala mizengwe, atakachokifanya hapo itakuwa ndo kutimia kwa ile kauli ya mwalimu kuwa 'upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm'
CCM ina kila wajibu kuhakikisha kuinampa kila aina ya ushirikiano John ili heshima ya chama irudi mahala pake wala si swala la John tu.

John hana cha kupoteza wakicheza anakabidhi nchi kwa UKAWA hata kabla ya kumaliza muhula wake.
Hapo ndipo utakapoelewa maana ya Pombe.

Mnavyotoa maoni nikm vile hamna ibada nyie watu, maana it's too soon kumjudge rais,
Naona baadhi mmekazana kumwombea mabaya, mnafanya kukata mti mlioukalia,

Kwa mawazo mepesi kabisa mtu yupo hapa anaandika porojo zake halaf naye anaona ameshusha nondo na hivyo anatamani rais apitie haka kauzi atoke na mawazo ya kufanyia kazi (lkn lengo lake ni kumchanganya akili rais), hiki ni kichekesho!

Ndugu, asante sana kwa mchango wako huu. Nakuunga mkono kwa 100%.
 
Back
Top Bottom