Tshala
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 281
- 110
Kuna ukweli kwenye hii maada. Ile cheka ya mwenda zake alipokuwa akimkabidhi Mh. John kijiti inabeba maudhui flani hivi.
Nakubaliana nawewe 100%
Kuna ukweli kwenye hii maada. Ile cheka ya mwenda zake alipokuwa akimkabidhi Mh. John kijiti inabeba maudhui flani hivi.
Uzuri wa john huwa anajielewa mwenyewe. aliwahi kuzenguana na mrisho na peter waka retain barua zake za kujiuzuru. wanaweza waka mremote ila siku watakayo kosea botton au betri kuisha ndo mwisho wa sinema john is unpredictable lets wait time will tell

umenarrate matukio, hakuna jipya uliloandika.
Tena atavurugwa sana asipoangalia, kama pale muhimbili akienda kichwakichwa tena, ile mashine ataambiwa imekufa kabisa!
Watoto wa mjini wanasema ukizubaa,utaingizwa kingi.
Napenda kukupa tahadhali ewe mkuu John, unatakiwa ushtuke mapema kwani mambo yanavyokwenda utalala doro!
Mkuu hujiulizi, inakuwaje watu wateuliwe kushika nyazifa kubwa siku tatu kabla ya kukabidhiwa rungu? Tena yule wa mwisho aliteuliwa kuwa katibu tawala pale lindi siku moja tu kabla hujaapishwa, mwingine ukapewa umwapishe kuwa mshauri wako wa mikataba yote utakayoingia, ikiwa ni masaa 18 tu toka upewe rungu, duh! Kwani hujui kule kusini kuna nini kinatakiwa?
Haya sasa, leo unatenguwa uteuzi halafu unafanya uteuzi kwa mtu huyohuyo kuwa mbunge, siku hiyohiyo mtu huyo anajitoa kutaka cheo kile na siku hiyohiyo anataka kingine hivi ni kweli haya maamuzi ya kiswahili umeyatoa wewe jembe letu John au umebambikiwa?
Haya juzi uneenda kuikagua ile mashine pale hosipitalini, ikatengenezwa, siku tatu tu imeharibika. Tena, imeharibika moyo wake. Kwakukufafanulia tu ni kuwa, ile mashine imeharibika kifaa kiitwacho (Redio frequence amplifier) ambacho ndio moyo wake, bila hicho hakuna hiyo mashine!! Kwa mujibu wa mtandao wa hiyo kampuni iliyopewa zabuni ya ya ukarabati kifaa hicho kinauzwa usd 97,000! Mil. 200 za madafu, upo mkuu?
Ukienda lesi tena unapigwa kivingine hujashtuka tu?
Mkuu John ngoja nikuache, usiposhtuka sasa, solemba pale ubungo mataa inakuhusu !
Lazima awe mjanja kama sungura la sivyo, zitabaki hadithi zile zile za wasukuma wafikapo kariakoo kwa mara ya kwanza.
Tena atavurugwa sana asipoangalia, kama pale muhimbili akienda kichwakichwa tena, ile mashine ataambiwa imekufa kabisa!
Mkuu zilitoka billion tatu na sio mbili. Hizi zilienda kupunguza deni la billion saba kule phillips ambao ndio wana tenda kuzifanyia matengenezo na hazikufanyakazi zaidi ya wiki moja. Kuna mtaalamu amesema hizo mashine zote mbili(MRI NA CT SCAN) zikiwa mpya zinauzwa chini kidogo ya billion kumi. Sasa kwanini serikali isiagize seti mbili mpya tena zenye guarantee ya matengenezo bure ya miaka mitano kwa kila mashine? Billion ishirini kwa serikali ni kitu gani cha kuogopesha? Tena kukomesha hii sintofahamu ya watendaji wetu kuhujumu hizi mashine ili wapate commission toka hospitali binafsi ni serikali kuiomba kampuni inayotuuzia mashine hizo kutupa wataalamu wao wawili waliobobea ambao wataajiriwa na serikali moja kwa moja na kulipwa mishahara ya expatriates na kupewa ofisi muhimbili. Hawa wataalam wataendesha mashine hizo na kuzitengeneza inapotokea matengenezo na spea wanaagiza mpya na genuine parts toka kwa mtengenezaji wa mashine hizo.Taifa litarudisha heshima na wananchi wake kupata huduma muda wote kwani ni wajibu wao.Fikiria mgonjwa aliefuata huduma hiyo toka mikoani kutokana na unafuu wa bei anafika muhimbili na kuambiwa mashine ni mbovu huku ameshasikia toka vyombo vya habari siku tatu nyuma vifaa vimepona. Hiyo imani kwa serikali yake anaipataje? Hivi hao wataalam wa phillips hawakuona hiyo amplifier imechoka wakaibadilisha kabla ya kuikabidhi mashine muhimbili? Au nao ni wababaishaji tuu.
Hivi nyie madubwasha ya MMASAI mbona mmawashwa hivyo! ina maana Raisi ni dhambi kupokea ushauri? especially hiki kipindi cha mwanzo wakati bado anaji-adjust?? do you want aende kupokea ushauri kwa lile kapi la Monduli>
Lazima awe mjanja kama sungura la sivyo, zitabaki hadithi zile zile za wasukuma wafikapo kariakoo kwa mara ya kwanza.
Uzuri wa john huwa anajielewa mwenyewe. aliwahi kuzenguana na mrisho na peter waka retain barua zake za kujiuzuru. wanaweza waka mremote ila siku watakayo kosea botton au betri kuisha ndo mwisho wa sinema john is unpredictable lets wait time will tell
John alivyomwehu anaweza funga hospital yote, isitoshe ni kitengo kidogo alichowekewa prof sarungi na mzee mkapa, inaweza fungwa na wote mukatimuliwa kazi.
umenarrate matukio, hakuna jipya uliloandika.
Naona John bado anadhani wanaomchekea wanampenda, hajui wao pesa mbele.