John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

Katika kile kinachoonyesha wazi kuwa sasa Mh. Shibuda ameamua kumwaga mboga baada ya viongozi wa CDM wao kumwaga ugali, katika hali isiyo ya kawaida Mh. Shibuda amewaambia viongozi wa CDM kuwa si welevu wa katiba ya nchi na wanaonyesha ni MAKUWADI WA FITNA.Source : Radio One Kipindi cha Nipashe leo 18.05.2012

kwa wasafwa 'buda' maanayake 'jamba'. ile kujamba ya kutoa sauti prrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!

muacheni atoe mashuzi.

M4C haitazimwa na wanafiki.
 
nina hasira sana yani huyu shibuda wakutaka kuturudisha nyuma! yan huyu tutakufa nae mwaka huu! akapimwe akili
 
yeye shibuda anawajua viongozi wa chama chake kuliko sisi..so huwezi jua kwa nini kasema hivyo labda kuna aliyoyaona ambayo sisi wa nje hatuoni.

Wale wale! Huyo shibuda anajua nini kuhusu viongozi wake? Hakuna vikao vya chama vya mikakati ambapo chama kinamshirikisha coz walishamjua kuwa ni Mnafiki na Kibaraka wa ccm.
 
Katika kile kinachoonyesha wazi kuwa sasa Mh. Shibuda ameamua kumwaga mboga baada ya viongozi wa CDM wao kumwaga ugali, katika hali isiyo ya kawaida Mh. Shibuda amewaambia viongozi wa CDM kuwa si welevu wa katiba ya nchi na wanaonyesha ni MAKUWADI WA FITNA.Source : Radio One Kipindi cha Nipashe leo 18.05.2012

achana na uzushi,kuwa rijali timamu maneno ya kinafiki yanakupa nini?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema ndio ujumbe wangu, huu ni UJINGA, anaundiwa tume ya nini? CHADEMA nao wanataka kuleta mambo ya KIDANDALA, tume ya kwenda wapi? MPE REDUNDUS FASTA ...
 
Katika kile kinachoonyesha wazi kuwa sasa Mh. Shibuda ameamua kumwaga mboga baada ya viongozi wa CDM wao kumwaga ugali, katika hali isiyo ya kawaida Mh. Shibuda amewaambia viongozi wa CDM kuwa si welevu wa katiba ya nchi na wanaonyesha ni MAKUWADI WA FITNA.Source : Radio One Kipindi cha Nipashe leo 18.05.2012

Kama hii ni kweli, basi huyu ni wakuchekiwa kwanza hospitali, labda na viongozi wa dini wacheki kama ana wadudus. maana inaonekana kuna kitu kinamsumbua. Kama ni mzima kabisa, hamna haja ya kupoteza wakati. Achukuliwe hatua za kinidhamu. Ahamie TLP.
 
yani hili babu shibuda wanaligwaya kweli cdm!fukuza kama umbwa..mtu mwenye uchu wa nyama dawa yake nyama hata ya ndezi ndio maana ccm wanaandaa vikao vyenye ubwabwa na nyama nyingi wakijua babufisi lita crash the party na kuanza klbwabwaja.
 
Kwani kale kadawa alikopewa mwakyembe kameisha store? Mpeni huyu mzee ili akakae India kidogo na atarudi akiwa na ubongo wenye kufanya kazi clockwise. Kwa sasa anafikiri ki-anticlockwise
 
Heading lazima ikuume kwani Shibuda amepiga ikulu na heading ilikuwa hivi 'Viongozi wa cdm wachanwa wazi wazi kuwa ni makuwadi wa fitna'.

Nyani haoni K******. Sishangai. Sijui ni nani hasa kuwadi wa fitina. Maana kuna sehemi za kusemea. Ukisema sehemu zisizo ndio fitina hiyo.
 
Mbunge wa maswa mashariki (Chadema) Mh. Magale Shibuda amewapa siku 3 bavicha wamtake radhi yeye na wapiga kura wake kuhusu kutoa kauli kwenye NEC ya ccm kugombea urais anasema wana fikra hasi na kusahau kuwa yeye ni mjumbe wa APRM mpango wa kujitathimini africa kwa hiyo alikuwa anatoa mada kwenye NEC.

Mkamateni mumpeleke kwenye lile kanisa la kawe, mnaweza gundua taizo. Bavicha mtaweza hiyo.
 
Shibuda amekiri ni jasusi la chama cha magamba. Afukuzwe toka CDM kama wale Madiwani wa Arusha.

Chadema kinakua na wanachama wengi wa CCM wanahamia. Chadema tuonyeshe tunaweza kuwapima wanaCCM wanaotaka kuingia na wale wenye dalili za chokochoko, kama Shibuda wasikubaliwe.
 
Shibuda I respect you......!
You deserve it.....! GOGO LA UDI UKILICHOMA LANUKIA...!
 
Back
Top Bottom