John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

Dawa pekee ya kumuadhibu shibuda ni kumu-ignore. Bavicha wasikubali kuingia kwenye mtego wa malumbano na mtu asiyekuwa na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya cdm. Shibuda kama de facto mbunge wa cdm, wamuache aendelee na mission yake ya kujilipua wasimkaribie kwa kumjibu maana wataripuka nae.

Chadema you are tested for leadership and tolerance against opposite vision, mkishinda mtihani huu basi kuna watu wengi sana hata ndani ya ccm watawaunga mkono. Hawatakuwa na wasiwasi na serikali ya chadema tena. Chadema ijikite kwenye kuelimisha umma iachane na shibuda.
 
Anatafuta mahali pa kuanzisha bifu, BAVICHA wamwache apige zake debe atachoka na kukaa kimya mwenyewe!!
 
OPEN MINDEDNESS IS WHAT IS REQUIRED

Mimi sielewi na sitoelewa kwa nini Mheshimiwa Shibuda ashupaliwe kama vile amefanya ufisadi. Alichofanya Mheshimiwa Shibuda ni kitendo kinachoonyesha kuwa amekomaa kisiasa na hana kinyongo. Amewataka BAVICHA kumuomba radhi kwa kuwa wanathitaji kufahamu siasa; sio chuko, Sio uhuni bali ni uungwana na kuwa open minded.

BAVICHA na wao kama ni waungwana na wanajua siasa, watajua la kufanya na sio kulumbana na Mheshimiwa Shibuda. Tena Shibuda anapaswa apewe nafasi ya kugombea Urais 2015 na CDM.

Usihofu kupewa nafasi mh:guy atapewa nafasi ya kutoa mbwa bandani itamfaa sana.
 
Mbunge wa maswa mashariki (Chadema) Mh. Magale Shibuda amewapa siku 3 bavicha wamtake radhi yeye na wapiga kura wake kuhusu kutoa kauli kwenye NEC ya ccm kugombea urais anasema wana fikra hasi na kusahau kuwa yeye ni mjumbe wa APRM mpango wa kujitathimini africa kwa hiyo alikuwa anatoa mada kwenye NEC.

Ule ulikuwa mkutano wa CCM. Hiyo APRM ni taasisi ya namna gani? inahusiano gani na CCM? Shibuda aliingiaje?
Shibuda ni Kichaa!
 
kwani isango we ni nani hasa,una ujanja gani wa kufukuza wanachama???umeingiza wangapi hadi uweze kufukuza,au njaa ndio inakutuma kusema kinachokuwa karibu na mdomo kwa hulipii

ungekua karibu nami ningekoroma halafu nikutemee usoni kwa nguvu nikikusonya na kutema chini huku cheusi cha jicho langu kikitazamana na jicho lako,,ewe unayedhoofisha na kukatisha tamaa wapiganaji,,,,,
 
MFA MAJI HAISHI KUTAPA TAPA.....SHIBUDABUDA ANAKUFA KISIASA KWISHNEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEY!
Hili ni gama liliingia CDM kwa bahati Mbaya sasa likashtukiwa linajaribu kufa kiume lakini litaumbuka kwa maana maji ni ya shingo sasa. Limeona mwelekeo kwamba muda sio mrefu litakuwa nje ya CDM, So linajaribu kufa maji na mtu LIFE lenyewe. BIG UP CDM Mpo makini na wa TZ tunawakubali waaache watu waseme sana mwisho watalala! Kila kitu ni wazi mchana kweupeeeee
> Tunaona Kazi yenu Bungeni
> Tunaona Majimboni (Note Hata SISIM wakibana wananchi wanaona )
> Tunaona katika kujadili mambo mazito ya nchi
> Tunaona Mnavyotuteteea!

VIVA CDM vivaaaa


Mafisadiiiiiiiiiii wameoleee-waaa, mafisadiii wame-oleeewaaa haooooo wameolewaaa haooo?.......

Mbona unatumia nguvu nyingi hivyo kuwatetea mpaka povu linakutoka? Kizuri chajiuza kibaya kinajitembeza huna haja ya kujitetea hivyo.
 
Ebana!,kwa hali ya kawaida m2 hawezi kufikiri kama m2 anaweza kusema vyama vya upinzani haviwezi kuongoza nchi,wakati yeye mwenyewe anaongoza jimbo na kama mbunge unatakiwa kutetea maslahi ya taifa na sio jimbo 2,leo hii 2nashindwa kumwelewa ktk akili za kawaida kichwani kwake,kusema upinzani hiwezi kuongoza afu yeye ni mbunge kutoka upinzani,da asitufanye watanzania wapumbavu,2naomba aachie ubunge,na aende huko ccm alipo ona mwanzo hakufai afu leo ana2ambia ndio wenye uwezo,inafurahisha,ajiuzuru,ikishindikana apigwe chini na chama
 
Katika kile kinachoonyesha wazi kuwa sasa Mh. Shibuda ameamua kumwaga mboga baada ya viongozi wa CDM wao kumwaga ugali, katika hali isiyo ya kawaida Mh. Shibuda amewaambia viongozi wa CDM kuwa si welevu wa katiba ya nchi na wanaonyesha ni MAKUWADI WA FITNA. Source : Radio One Kipindi cha Nipashe leo 18.05.2012

Crapping machine is on the stage
 
Mod tupeleke likizo tena manake ile breake ilikuwa kutubadilisha turudi na topic za maana kwa ajili ya manufaa ya taifa na watu wake kwa ujumla lakini bado midude inapost mijitopi ya kikima humu ndani !
 
mbowe nakuomba utumie busara kutuondole huyu insane kwenye chama makini.
 
Huyu Jamaa anakaribia kutoa roho nini? au ule mkakati wa CHADEMA kumshughulikia umeishakamilika kiasi kwamba ametahayari?
 
Ndugu Shibuda unaombwa uende kutoa mada na kwa wa vijana CDM wa Mbeya,alafu baada ya hapo ndipo uwatake Bavicha wakuombe radhi!
 
Back
Top Bottom