John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, May 18, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Mbunge wa Maswa Magharibi (Chadema) Mh. Magale Shibuda amewapa siku 3 bavicha wamtake radhi yeye na wapiga kura wake kuhusu kutoa kauli kwenye NEC ya CCM kugombea urais na aliposema kwamba hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuongoza Dola kama CCM..

  Anasema wana fikra hasi na kusahau kuwa yeye ni mjumbe wa APRM mpango wa kujitathimini Africa kwa hiyo alikuwa anatoa mada kwenye NEC.
   
 2. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,477
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Nafikiri Gamba Shibuda ameisha ona mwelekeo kwamba muda sio mrefu atakuwa nje na chama makini CDM, hayo yote ni maneno ya mfa maji. na sidhani kama katika ulingo wa siasa ataonekana tena niyo bye bye hivyo R.I.P kisiasa shibuda
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Shibuda = Enemy of the M4C.
   
 4. k

  kenethedmund JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  huyo ni gamba, na mbaya zaidi anaharibu heshima hata ile kidogo aliyonayo kwa wanamaswa mpaka wao wamemchoka, unafikiri impact ya kauli zake zinamjenga, hapana anajiua kisiasa mwenyewe baada ya Chadema ni atakuwa lala salama gone and forgotten.

  mbaya zaidi anaharibu mpaka future ya familia yake, especially watoto ndio watakaoathirika zaidi watakapotaka kuingia kwenye siasa.

  huyu anahitaji kupelekwa lutindi, au ameshajua mambo yanakuja kuwa mabaya kwake
   
 5. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Apigwe chini tu,anautamani uwaziri wa kupew na magamba
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  yeye shibuda anawajua viongozi wa chama chake kuliko sisi..so huwezi jua kwa nini kasema hivyo labda kuna aliyoyaona ambayo sisi wa nje hatuoni.
   
 7. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Ngoma imenoga! Shibuda sema , sema usiogope sema ! sisi vijana tupo nyuma yako!
   
 8. Mtali

  Mtali JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 2,226
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Shibuda anachofanya kwa sasa ni ku polish kaburi lake kisiasa...... Alipo ingia CDM alikuwa wanmuongezea muda wa kuishi ila he wa likely to die soon..... Ushauri ni kwamba kwa sasa wasihangaike kujibu ujinga wa huyu jamaa watakuwa wanamuongezea Credit dawa ni kukaa kimya na kuto mshirikisha katika maamuzi mazito ya chama.......
   
 9. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Katika watu wa ajabu Tanzania Shibuda ni namba 1,CCM walimtema tena kwa mbwembwe leo hii amerudi kuwalamba miguu,hata familia yake ina hasara kupata mtu asiye na msimamo.
   
 10. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  CHADEMA nao wanatakiwa kuwafunda kina Heche. Shibuda hatakiwi kuwa engaged kwenye majukwaa ya siasa. Wamwache afanye analotaka kufanya. Shibuda yupo kwenye suicide mission aliyotumwa na CCM, yaani kujilipua ili aondoke na credibility ya CDM. Njia pekee ya kushinda mission hiyo ni kumwacha Shibuda abwabwaje na 2015 akiomba kugombea jimbo la maswa kwa ticket ya CDM wampatie nafasi vilevile, kama akisema arudia kuvaa gamba basi wamwache.

  CDM wakianza kufuata jinsi Shibuda alivyoenda rogue na kutaka kumdhibiti, itakuwa ni furaha kwa CCM. CCM waliisha mwita huyu jamaa na kumtaka radhi kwa kumtosa 2010 na kumuahidi makubwa kama atawasaidi kuiingiza CDM katika migogoro. Ukweli ni kwamba Shibuda hawezi kuiingiza CDM kwenye migogoro kwani si kiongozi hivyo ni wa kumpuuza tu. Mheshimiwa kamanda Mbowe tumia busara zako kwenye hili waambie CDM na vijana wote kuwa Shibuda ni mtu huru wamwache aongee anavyojisikia na wala wasimjibu. CDM you are winning the battle against CCM msikubali kuondolewa mawazo yenu kwenye trigger kwa kupitishiwa binti asiyekuwa na nguo.
   
 11. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Sema wewe kijana usiweke wingi. Inaonyesha ww ni kijana wa zamani na upo katika Magamba maana huo wimbo ulikuwa unaimbwa na watumwa wa CCM
   
 12. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  huyu gamba njaa iliyohamia kichwani inamsumbua.
   
 13. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  huko nyuma mnamfanya nini?
  angalieni tutakapo mpiga loba akajampa huko nyuma sizani kama mtapumua
  sema wewe kijana peke yako usitake kutufanya wote mazuzu wenzio,kufa kivyako na shibuda wako
   
 14. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  MFA MAJI HAISHI KUTAPA TAPA.....SHIBUDABUDA ANAKUFA KISIASA KWISHNEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEY!
  Hili ni gama liliingia CDM kwa bahati Mbaya sasa likashtukiwa linajaribu kufa kiume lakini litaumbuka kwa maana maji ni ya shingo sasa. Limeona mwelekeo kwamba muda sio mrefu litakuwa nje ya CDM, So linajaribu kufa maji na mtu LIFE lenyewe. BIG UP CDM Mpo makini na wa TZ tunawakubali waaache watu waseme sana mwisho watalala! Kila kitu ni wazi mchana kweupeeeee
  > Tunaona Kazi yenu Bungeni
  > Tunaona Majimboni (Note Hata SISIM wakibana wananchi wanaona )
  > Tunaona katika kujadili mambo mazito ya nchi
  > Tunaona Mnavyotuteteea!

  VIVA CDM vivaaaa


  Mafisadiiiiiiiiiii wameoleee-waaa, mafisadiii wame-oleeewaaa haooooo wameolewaaa haooo?.......
   
 15. j

  jigoku JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Bavicha tunaomba huyu msimtake radhi na kama anataka kuleta ligi tutawapa tactics nzuri za kumuondosha CDM kimya kimya,kuna strategies zimeiva zinasubiri kupakuliwa tu wala msihofu,na kwa ushauri wangu Bavicha msimuombe radhi huyu.msitishike na kipaji chake cha kupayuka
   
 16. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Mbona hii siyo Breaking news Niliisikia Nipashe
   
 17. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  wasipoomba radhi ndani ya siku tatu atachukua uamuzi gani.?
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,420
  Trophy Points: 280
  Bavicha waliyataka wenyewe ..wangenyamaza wangefukuzwa kazi? ..mimi nawalaumu bavicha na nitaendelea kuwalaumu ..mngenyamaza watu hata wasingejua ila haya malumbano wala yasingepata coverage
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,420
  Trophy Points: 280
  atajinyonga labda
   
 20. Jallen

  Jallen JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Breaking news amesema saa ngapi
  Taarifa ina siku mbili hiyo
   
Loading...