John Shibuda: Mbowe ni dikteta

Haya ya udikteta wa Mbowe niliyasema zamani sana na kila siku huwa nawauliza, what do you expect from a night club don? Umafia tu.

Huyu Mbowe hana cv ya uongozi wa aina yoyote. Kama ni disko, kalirithi hajalianzisha yeye. Hajawahi kuwa Monitor wala Prefect shuleni. Basi, kwa ajili ya vipesa vya umafia wa night club ndio manmuona kiongozi? Ama kweli, wajinga ndio waliwao.
 
Mijizi yote tunaimudu, acha itunishe mfuko wa chama na hujuma hawafanyi
 
kama ni kauli ya shibuda ajue ya kiwa bila kuwa dikteta huenda hata yeye kisungemvutia, maana kabla alijua ya kuwa kulikuwa na vyama vingi ila akakichagua sema kakutana na baba wa nyumba mkali
 
If you are not a CDM member or supporter so what is your problem, hivi huko CCM wajinga wenu wanaliwa na nani.
 
If you are not a CDM member or supporter so what is your problem, hivi huko CCM wajinga wenu wanaliwa na nani.

Mimi si Chadema ila napenda Chadema iwe na nguvu ya kuleta upinzani wa kweli. Na hiyo haitakuwepo ikiwa bado mbowe ni mtawala.
 
Sitaki kuamini kuwa hii ni kauli ya Mzee Shibuda. Lakini kama leo hii ameshafikia hapo tena basi hakuna shaka kuwa siyo Mzee mwenye busara hata kidogo. Maana sasa atachukua uamuzi gani? Kuhama chama au atafanya nini? Maana mara hii na bila busara wala subira amekwishafarakana na Mwenyekiti wake? Mtu yeyote aliyewahi kuwa kiongozi wa watu zaidi ya watano tu atafahamu au atagundua tu kuwa Mzee mzima kaghafilika. Ukiangalia na kutafakari jambo hili vizuri (na kama ni kweli) basi utaona kuwa "its a blessing for Chadema". It has happened early and therefore should be easy to deal with. Na kama ni kweli sitashangaa kusikia Shibuda karudi CCM end of 2014.
 
<br />
<br />
jamaa ni mroho na mlafi wa nyama,achinjiwe mbuzi huyo.
 
Mimi si Chadema ila napenda Chadema iwe na nguvu ya kuleta upinzani wa kweli. Na hiyo haitakuwepo ikiwa bado mbowe ni mtawala.
Wadanganye wajinga wanaoliwa si mimi, kuna staili humu imezuka mtu ataanza.....hiki chama chetu ama viongozi wetu......nakishauri chama changu kimuondoe Mwenyekiti Mbowe hafai............kwa akili ya kawaida watu kama hawa huwa tunawapotezea.
 
Unatuletea habari ya gazeti la Mtanzania wewe una akili za kutosha kweli? Acha kutuletea uozo wako kamweleze hizo habari Makamba.
 
CDM hawaoni makosa ya baba yao Mbowe, they will try to justify his every move....the guy is a crook. The party now needs a strong visionary leader not this thug....
Does CCM got one? Makamba? Kikwete? .........then who is the visionary leader you are refering to in Tanzania?
 
Wadanganye wajinga wanaoliwa si mimi, kuna staili humu imezuka mtu ataanza.....hiki chama chetu ama viongozi wetu......nakishauri chama changu kimuondoe Mwenyekiti Mbowe hafai............kwa akili ya kawaida watu kama hawa huwa tunawapotezea.

Najuwa unafahamu nasema nini, mimi si Chadema ila nawapa nasaha zangu tu. Mkipenda zisikizeni mzifanyie kazi, la hamkupenda zipuuzeni kwani waswahili hunena "sikio la kufa halisikii dawa".
 
Kama haya maendeleo ya CHADEMA yaliletwa kidikteta na Mbowe, basi ni heri aendelee na udikteta wake maana umeleta maendeleo makubwa kuliko ilivyotarajiwa.
Keep it up ma men.
 
hajaona madikteta nini wanakata majina yote ya wanaume wagombea uspika wanasema mwaka wa wanawake,na chadema wajue sasa hivi wanatakiwa kupambana na lijimlima likubwa kweli kweli wanakazi wajue huyo aliyetangazwa na NEC na wale list of shame members sasa ndio wako kama wameumwa na nyuki ,kwa hiyo kauli zao kwenye magazeti ndio zitauza kweli magazeti na kuchanganya wananchi,
 
Na wewe Shibuda ndio nini sasa???? Hizi kelele kama za watoto wadogo mnazitoa wapi????? Brenda Fassie aliwaambia watu wa MEDIA 'Do your job,"MAKE ME OR BREAK ME."' Shibuda ndugu yangu unajijenga au unajibomoa?
 
Ukabila, undugu, ubinafsi na udikteta ndivyo vimetawala Chadema. Sijui mpaka kufika 2015 kaMA chadema chadema ya mfano wa mrenda. na ukweli huu utasimama wale amabao mawazo yao yako ndani ya chupa kwa kujifanya conservative wa chadema waendelee tu kupayuka, ila comes 2015 mtakubali wenyewe kama mlivyokubali kila kitu mlichokuwa mnajidai kupigania kama kumtambua JK. Mbowe anaiua chadema sisi wenye kuona mbali tunasema na tutaendelea kusema, Zitto ndiye mkweli ndani ya chadema anatumia vizuri usomi wake, akili yake katika chumbua mambo kifupi ' zitto think in a big picture' Bravo Zitto.
 
Najuwa unafahamu nasema nini, mimi si Chadema ila nawapa nasaha zangu tu. Mkipenda zisikizeni mzifanyie kazi, la hamkupenda zipuuzeni kwani waswahili hunena "sikio la kufa halisikii dawa".
Kwanini unawapa nasaha chadema wakati huwapendi? kawape makamba advice zako kwani naona weye una busara sana
 
Shibuda anajulikana na kila mtu ni mtu anayependa majigambo, Lakini tangu mwanzo tulishasema CHADEMA wawe makini sana na hii pokea pokea kuna wengine wametumwa kuja kusambaratisha chama
 
When was the last time dictatorship was regarded as a good brand?
 
Wadanganye wajinga wanaoliwa si mimi, kuna staili humu imezuka mtu ataanza.....hiki chama chetu ama viongozi wetu......nakishauri chama changu kimuondoe Mwenyekiti Mbowe hafai............kwa akili ya kawaida watu kama hawa huwa tunawapotezea.

Exclusive OWNERSHIP! Teh teh teh!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…