AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
"Kupuuzwa ni adhabu tosha"-(By Dr slaa)
Naona hatimaye yametimia sasa,
Naona hatimaye yametimia sasa,
Wasaliti Wanaanza Kujiondoa Mdogomdogo. Leo Mbunge Wa Maswa John Shibuda Kuondoka CHADEMA. Source Magazeti Ya Lumumba.
Mmeshaanza kazi ee, unapost na kujijibu mwenyewe.
Mkuu ulipotea sana, habari za Mpemba?
Ati kahamia chama kingine, na assa anarudi bungeni! Kwa tiketi ya hicho chama alichohamia au? Kwa nini huwa napata shida kumwelewa bwana Shibuda! Wakati tuko O-level Moshi tech, nyuma yangu kulikuwa na kijana anaitwa somebody Shibuda...naye alikuwa mawenge mawenge...huewzi mwelewa ni mtu wa naman gani! Nadhani alikuwa kijana wa huyu mzee wa posho a.k.a ujira wa mwiha.
Wasipo angalia CDM itabaki kanda moja
Shwari sana mkuu, niko Dar now
Kusini ya wapi mimi mwenyewe wa kusini, labda kusini ya hapo chini ya mkanda wako mweusi kiunoni kama unavyoonekana kwenye Avtar yakoHata wakiangalia, itabaki kanda moja tu.. huku kwetu kusini hatutaki kusikia huo upuuzi kabisa
Hatuwashangai! Si ninyi ndiyo akina mama wa vidato!Hata wakiangalia, itabaki kanda moja tu.. huku kwetu kusini hatutaki kusikia huo upuuzi kabisa