John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

Status
Not open for further replies.
chadema ni mpango wa Mungu, kwanza amechelewa sana kuondoka cdm, atahama vyama vyote nchii
Huyu mungu wa CHADEMA hawezi hata kukiwezesha chama chake kupewa madaraka ya kuongoza nchi tokea mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi upitishwe kikatiba.

Huyu atakuwa mungu wa ajabu kweli!
 
huyu shibuda kila chama kwake anakiona hakina haki wakati anahama ccm alitoa maneno mengi sana akaomba uanachama cdm akapewa akachukua jimbo sahv ameichokonoa cdm kwa usaliti wake wa wazwaz na hata kuhofiwa kwamba ni kibaraka mwshowe anaanza kuitupia lawama cdm tena hv nan tatzo ni vyama au yy mwenyewe ndio tatzo maana hata chama kngne chochote atachoamia wasubirie akishawatumia aondoke kwa kashfa tena.
 
Anapomponda Lissu na CHADEMA akumbuke na fadhila alizofanyiwa 2010 kabla ya uchaguzi mkuu pale alopookolewa kuingia lupango kwa kesi ya kubambikiziwa ya mauaji
 
Wana jamvi baada ya kuhamia act,shibuda amejitangazia kugombea uwenyekiti wa chama chake kipya.,taarifa za awali zilisema kuwa zitto kabwe yupo njiani kujiunga na chama hicho mwenzi septamber mwaka huu,ngoja tusubiri wakati ujao
 
KAMANDA SHIBUDA amesema amechoshwa na kuburutwa ndani ya chadema ameibwaga chini na kuhamia kwenye chama cha ukombozi.
ALUTA CONTINUA VIVA ACT.
source MAJIRA

Unajua na ww kidogo na mashaka kama uko sawa au unaenda kishabiki.
Sasa unaposema ALUTA CONTINUA VIVA ACT unasahau kua huyo anaekuja uko ACT ametoka CHADEMA kwa kusaliti UKAWA ambao hata mwenyekiti wa ACT alikaririwa kuwasupport ukawa kwa kitendo chao cha kutorejea bungen kama vile haitosh bdo mwenyekit anataka bunge lisitishwe afu we unafurahia kuona mjumbe aliekwnda kwenye BMK ambayo chama chako hakikubali vikao vinavyoendlea, anahamia kwenu. Ungekua unaona mbal ungewashaur hao viongoz wako wasimpokee manake sera zake ni tofaut na chama na ndicho kilichomtoa CHADEMA vingnevyo anakuja kuwavruga
Pia kama mmempokea itakua ntaanza kukubaliana na watu humu ndan kuwa ACT ni maalum kuibomoa CHADEMA sababu Shibuda kwa kitendo cha kuhudhuria BMK ni kuthibitsha kibur cha CCM kutokutaka maridhiano wakat Katiba hailazimishwi n maridhiano
Pia ameona itakua aibu kwake ikitokea BMK kusitishwa alafu ataonekana ni msalit wa kwel ko ameona dalil hzo za bunge kusitshwa akajiulza pa kukimbilia.
Ni mtizamo tu
 
Chama kinachojengwa katika msingi wa ulaghai na ubaguzi wa fikra, mtazamo, dini na kabila kulingana na sehemu unayotoka nchini hakiwezi kukubalika katika jamii yote nchini.

Haya yanayotokea ndani ya CHADEMA ni malipo na matokeo ya kilichopandwa na baadhi ya viongozi wakuu ndani ya chama.

Neno usaliti haliwezi likatumiwa kama ndiyo yardstick ili kuficha uozo ndani ya chama.

Tutasikia mengi
Acha uchochezi, sisi watanzania tunawaelewa sana nyie ccm, hamuupendi ukweli,huyo Chibuda ni njaa zimempeleka huko bungeni. Na kuhusu mtazamo wako kuhusu CHADEMA ni mtazamo wa hovyo,fahamu hakuna namna ambavyo ccm watamsemea CHADEMA mema kwani mpaka sasa magamba wamebanwa vibaya mno, ebu fikiria na weka ushabiki pembeni tena achilia mbali mambo ya serikali mbili au tatu, hivi ni halali kweli ccm kujadili katiba na kuondoa kipengele cha maadili na uwajibikaji kweli? Sasa hiyo katiba itakuwa ya waungwana au mashetani? jibu ni ya mashetani kwani hayapendi maadili, ccm mmepotezana sana ktk hili,mfahamu kuwa Mungu yupo na ona namna mnafitiniana pale Sita anapoomba vyombo vya habari vizibitiwe na wakati huohuo Nape anasema vyombo viendelee hapo ndiyo ujue ufalme wenu umefitinika,pia Mwigulu alitoa pendekezo ikibidi kama hakuna maridhiano ni bora kusitisha bunge la katiba ila mwathirika kisiasa (Sita) akagoma kwa sababu ya udikteta mwisho ataumbuka na itakuwa ni anguko la ufalme wenu. Mungu wabariki UKAWA na ccm uwape hekima waachane na ushabiki wa kisiasa ili wajadili yale maoni ya Watanzania. Ameni.
 
Chama kinachojengwa katika msingi wa ulaghai na ubaguzi wa fikra, mtazamo, dini na kabila kulingana na sehemu unayotoka nchini hakiwezi kukubalika katika jamii yote nchini.

Haya yanayotokea ndani ya CHADEMA ni malipo na matokeo ya kilichopandwa na baadhi ya viongozi wakuu ndani ya chama.

Neno usaliti haliwezi likatumiwa kama ndiyo yardstick ili kuficha uozo ndani ya chama.

Tutasikia mengi

.
kwani huyu Shibuda asili yake ya usaliti imeanzia chadema? ikumbukwe kuwa huyu kigeugeu alitolewa baru huko sisiem.
 
Kama aliweza kutoka CCM kwa kuona ya kwamba anafanyiwa dhuluma za kisiasa, na sasa anaona hali hiyo hiyo Chadema...

Kwa nini anaendelea kung'ang'ania kuwa mwanachama wa Chadema?

Bahati mbaya hawa wanasiasa wanafiki huwa wanakimbilia vijijini kwenda kutoa matamko yao, mahali ambapo hawawezi kuulizwa maswali...

Ni wanasiasa wachache sana walio madarakani wanaokubali kuulizwa maswali.

Kwa hapa kwetu nadhani hakuna Mwenyekiti/Katibu Mkuu wa chama chochote anayeruhusu kila swali, na akiruhusu hatayajibu, atasema ni maneno ya uzushi, ni maneno ya wasaliti wasiokitakia mema chama chetu etc.
 
Aseme tu kazi aliyo tumwa ya kuinomoa Chadema imemshinda. Sasa atafute chama kimgine. Pole msaliti Shibuda
 
Shibuda aachie posho ? Ni rahisi fisi kusamehe nyama.
 
nafurahi kuwaona wasaliti wakijiondoa wenyewe kwenye chama changu nasubiri waanze kusalitiana kwenye chama chao cha usaliti ndio sifa kubwa ya wasaliti
 
Mbona sioni mahali aliposema anaachana na Chadema zaidi ya kusema hatagombea tena ubunge kupitia Chadema...

Tafsiri ya kutogombea tena kupitia Chadema haina maana ya moja kwa moja kwamba mwaka 2015 Bw Shibuda atagombea ubunge kupitia chama kinginecho au ataendelea tu kuwa mwanachama wa Chadema...

Matamshi ya kuachana na Chadema ni tafsiri ya mwandishi wa habari kulingana na matamshi haya ya Bw. Shibuda...

"Tangu nimejiunga na chama hiki, kila siku natukanwa hata na watoto wadogo ndani ya chama hiki...sasa nimechoka na siwezi kuvumilia hali hii, nimekuwa mvumilivu kwa muda mrefu hivyo natangaza kuwa, sitagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA kwani chama hiki si baba wala mama yangu," alisema.
 
Kama ana ubavu arudishe Kadi ya CDM tuone,hata msaliti mkuu zzk hawezi kufanya hivyo aache posho maana wote wachumia tumbo tu!
 
Huyu mungu wa CHADEMA hawezi hata kukiwezesha chama chake kupewa madaraka ya kuongoza nchi tokea mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi upitishwe kikatiba.

Huyu atakuwa mungu wa ajabu kweli!
Lazima huyo mungu wao atakuwa mpiga picha kama wewe
 
Nitamvaa rais Kikwete kwenye uchaguzi mkuu 2010-Shibuda.

Asema hakuna wa kumzia CCM, azua mgogoro na chama.
Makamba amuita 'amechanganyikiwa'
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom