John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Nyie huwa mnaniacha hoi kwa tabia zenu za kujitekenya halafu mnaaza kujichekesha wenyewe kwa wenyewe! Kulikoni? Kila siku CCM na Vibaraka wenu mmekuwa mkiwabagua wachagga (Nape na Nchemba), Kila siku humu huwa mnasema kuwa CUF ni ya Waislam na CHADEMA ni ya Wakristo!!! Kila siku mmekuwa mkizusha na kuwazushia CHADEMA kuwa ni chama cha kigaidi na kudiriki hata kuwapiga mabomu na kuwaua ... msaidieni huyo kibaraka wenu mwambieni asome hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...con-ya-mageuzi-ya-kisiasa-na-kiuchumi-tz.html
Chama kinachojengwa katika msingi wa ulaghai na ubaguzi wa fikra kulingana na sehemu unayotoka nchini hakiwezi kukubalika katika jamii yote nchini.

Haya yanayotokea ndani ya CHADEMA ni malipo ya ubaguzi ndani ya chama.

Tutasikia mengi
 
Chadema ipo kwa watu serious,ndio maana ccm wanaogopa,pia inachukua hatua mara moja
 
Mmeshaanza kazi ee, unapost na kujijibu mwenyewe.
 
Ilikuwa ni aibu kubwa sana kwa chadema kung'ang'ania hili zigo la taka, kwanza uliisha ona wapi mwanamme mzima uko bungeni badala ya kutoa haoja ya maana unaanza kuimba mashairi kama mjinga...hii ni aibu...na inayanyika Tanzania tu...na sindio huyu alikuwa anashiriki wakati wakiwatesa wana chama wa chadema ili wawasingizie kesi Viongozi wa CDM...bado huyu unamhesabu ni mtu mwenye akili timamu?
 
Makamanda jimbo la Shibuda liko wazi,pia aage kabisa bunge maana hatakuwa tena mbunge kupitia jimbo hilo.
 
Sasa kama Chadema wapo hivyo unavyodai si munyamaze kimya ili kijifie ili nyie mpate goodtime? Mimi adui yangu daima namuombea njaa nyie mnamuonea huruma adui anayetaka kuwaua kweli CCM yetu siyo hii yenu?
 
Kama aliweza kutoka CCM kwa kuona ya kwamba anafanyiwa dhuluma za kisiasa, na sasa anaona hali hiyo hiyo Chadema...

Kwa nini anaendelea kung'ang'ania kuwa mwanachama wa Chadema?

Bahati mbaya hawa wanasiasa wanafiki huwa wanakimbilia vijijini kwenda kutoa matamko yao, mahali ambapo hawawezi kuulizwa maswali...


Alisema kuwa aliingia katika chama hicho kwa hiari yake baada ya kukataa dhuluma alizodai kufanyiwa na CCM na kudhani ndani ya Chadema kuna demokrasia na ukombozi wa kweli, lakini alichokikuta ni tofauti kwani kila siku amekuwa akipata misukosuko kutoka ndani ya chama hicho.

"Mie niliingia Chadema kwa hiari yangu baada ya kuona dhuluma zilizokuwa ndani ya CCM, chama kilichonilea kisiasa, nikaona heri niende Chadema ambako nilidhani kuna demokrasia na ukombozi wa kweli, lakini nilichokikuta humo ni tofauti'' alisema.
 
chadema ni mpango wa Mungu, kwanza amechelewa sana kuondoka cdm, atahama vyama vyote nchii
 
KAMANDA SHIBUDA amesema amechoshwa na kuburutwa ndani ya chadema ameibwaga chini na kuhamia kwenye chama cha ukombozi.
ALUTA CONTINUA VIVA ACT.
source MAJIRA

Good riddance Magale John Shibuda; Better jump than wait to get pushed and drown! you could not prostitute with the peoples wishes for a second liberation and yet stay safe; sooner rather than later you had to go; God speed Judeus Iskariot; go join people of your ilk, "Political prostitutes"
 
Makamanda jimbo la Shibuda liko wazi,pia aage kabisa bunge maana hatakuwa tena mbunge kupitia jimbo hilo.

hivi kuna nyau wa chadema atasubutu kusogeza pua yake jimbo la shibuda? KANDA YA ZIWA YOTE NI YA ACT
 
majimbo ya yote ya kanda ya ziwa mwakani.yanaenda ACT
 
Wala Sibuda asishangae kutengwa na wanaume wakati wa kujadili UKAWA, maana wenye akili waligundua jamaa anatabia za kike na unafki na kazi aliyo kuwa ametumwea na mabwana zake wa chama cha kifisadi...anadhni tumesahau alipo shiriki kuwateza wana chama wa CDM kuwasikinzia VIongozi wa CDM... Chadema walichelewa sana kufukuzilia mbali hii kitu! akafie mbele ya safari, kama kweli kajitoa ni sherehe kubwa sana....
 
Mwanachama mpya wa act shibuda ametangaza kuwa atagombea uwenyekiti wa taifa chama hicho,
ACT-Tanzania; home of Judeus Iskariots; saafi saana; Magale John Shibuda; nje ya siasa hana maisha; kama Richard Michael Wambura; nje ya mpira hana maisha!! pole zenu.
 
Kama aliweza kutoka CCM kwa kuona ya kwamba anafanyiwa dhuluma za kisiasa, na sasa anaona hali hiyo hiyo Chadema...

Kwa nini anaendelea kung'ang'ania kuwa mwanachama wa Chadema?

Bahati mbaya hawa wanasiasa wanafiki huwa wanakimbilia vijijini kwenda kutoa matamko yao, mahali ambapo hawawezi kuulizwa maswali...
Huwezi kuwatenganisha Vijana wa BAVICHA na mawazo ya kibaguzi!.

Kwa fikra na mtazamo mfupi unadhani watu wanaoishi vijijini hawana uwezo wa kuuliza maswali.

By the way, mjini ndiyo wapi kwa kutumia fikra na mtazamo wa kibavicha?. Unaifahamu Maswa na Malampaka?
 
KAMANDA SHIBUDA amesema amechoshwa na kuburutwa ndani ya chadema ameibwaga chini na kuhamia kwenye chama cha ukombozi.
ALUTA CONTINUA VIVA ACT.
source MAJIRA

Nashukuru mungu kwani mimi binafsi sijwahi kuhisi kuwa shibuda ni mwanachama wa chadema,. Wakati wote nilikuwa nasubiri sinema itaishaje? Kaaazi kwei kwei!
 
Mmh... kumbe source ya hiyo habari ni gazeti la Habari leo?

Hivi hilo gazeti, linaloendeshwa kwa kodi za wananchi wote wa nchi hii, kwa jinsi linavyotumika kuendesha propaganda za magamba, hivi hilo gazeti lina tofautli gani na Uhuru?

Upo umuhimu, kwa mbunge makini kama Mnyika, kupeleka muswada binafsi wa kuitaka serikali iiondolee ruzuku, vyombo vya habari vya serikali vinavyoendesha propaganda za CCM, wakianza na gazeti hilo la Habari leo na kituo cha luninga cha TBC1, na badala yake vyombo hivyo viendeshwe kwa michango ya wafurukutwa wa CCM!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom